Kilichofanya upinzani ukatoswa Oktoba 2020 mmekisahau? Mbona mnarudia makosa?

Upinzani ulishinda uchaguzi Lissu alishinda urais ila dola ikapindua meza kibabe ukitaka uamini ulizia walimu watu wazima wacha Mungu waliosimamia uchaguzi wameapa kutojihusisha Tena na hilo zoezi maana dhamira zao zimeumia kwanamna walivyoshurutishwa kuiba kura kwaniaba ya CCM.
Mwaka jana wakati Covid 19 imepamba moto wabunge wa Chadema na Act wazalendo walitoka bungeni na kuamua kujiquarantine kihuni huku wakiwa tayari wamevuta mkwanja aka posho za kulia bata.

Kitendo hiki kilimuuzi kila mtanzania na kwa uhakika ndio sababu kubwa ya kuwaadhibu wapinzani kwenye sanduku la kura.

Wananchi walitoa adhabu kwa kutumia ballot paper sababu tu ya upinzani kukosa uzalendo wakati kuna janga la kidunia. Maana kama taifa lipo kwenye majanga kwa nini wapinzani watake kuchukua political advantage? Ni upuuzi wa kisiasa.

Sasa tena pamoja na kuwa mmekufa kifo cha mende bado mnaendekeza siasa za kishamba. Mnadhani kufurahia kuwepo kwa Covid 19 ndio advantage kisiasa? Wananchi tunawachora na huenda msinyanyuke kabisa hapo mlipolala kifo cha mende.
 
Leo mumeo kakuacha,hasira unaleta jf
 
Leo mumeo kakuacha,hasira unaleta jf
πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•
 
..wananchi wanapoteza maisha kwa kufichwa taarifa za ugonjwa ili kumfurahisha mtu mmoja tu.

..kinachoendelea sasa hivi ni UNYAMA kwa Watanzani. haiwezekani wanachi wafe ili kulinda UONGO wa Bwana Mkubwa.
Kwenu wamekufa wangapi?
Na kabla ya corona tanzania watu walikuwa wankufa wangapi kwa siku au mwezi?
Lete data hapa tujue na sasa hivi wanakufa wangapi?

Hatutaki porojo zenu kwa kusema watu wanakufa ila nyie hamfiwi watu kwenu.
 
Mwaka jana wakati Covid 19 imepamba moto wabunge wa Chadema na Act wazalendo walitoka bungeni na kuamua kujiquarantine kihuni huku wakiwa tayari wamevuta mkwanja aka posho za kulia bata.

Kitendo hiki kilimuuzi kila mtanzania na kwa uhakika ndio sababu kubwa ya kuwaadhibu wapinzani kwenye sanduku la kura.

Wananchi walitoa adhabu kwa kutumia ballot paper sababu tu ya upinzani kukosa uzalendo wakati kuna janga la kidunia. Maana kama taifa lipo kwenye majanga kwa nini wapinzani watake kuchukua political advantage? Ni upuuzi wa kisiasa.

Sasa tena pamoja na kuwa mmekufa kifo cha mende bado mnaendekeza siasa za kishamba. Mnadhani kufurahia kuwepo kwa Covid 19 ndio advantage kisiasa? Wananchi tunawachora na huenda msinyanyuke kabisa hapo mlipolala kifo cha mende.
Alisikika muenezi wa chama
 
πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•
Kunywa maji upunguze hasira
 
Kwenu wamekufa wangapi?
Na kabla ya corona tanzania watu walikuwa wankufa wangapi kwa siku au mwezi?
Lete data hapa tujue na sasa hivi wanakufa wangapi?

Hatutaki porojo zenu kwa kusema watu wanakufa ila nyie hamfiwi watu kwenu.
Good question. Kwa nini tindo na JokaKuu hawafi?
 
Nani wa kuamini haya unayosema? Tulipiga kura, na nani angekuchagua wewe na Chadema?
Sikuwepo Tz na sikwenda kupiga kura but jirani yangu (wakala wa CCM) kaona jina langu limepiga kura,siku nakutana naye ananiambia kwa nini nimerudi kimya kimya!! Nikamwambia ndio nimefika jana,yeye anasema si kweli, eti mbona ameona jina langu limepiga kura!!!
Ni mpumbavu na mfuasi wa shetani pekee anayeweza kuandika kuwa upinzani wamekataliwa kwenye box la kura.
 
Mwaka jana wakati Covid 19 imepamba moto wabunge wa Chadema na Act wazalendo walitoka bungeni na kuamua kujiquarantine kihuni huku wakiwa tayari wamevuta mkwanja aka posho za kulia bata.

Kitendo hiki kilimuuzi kila mtanzania na kwa uhakika ndio sababu kubwa ya kuwaadhibu wapinzani kwenye sanduku la kura.

Wananchi walitoa adhabu kwa kutumia ballot paper sababu tu ya upinzani kukosa uzalendo wakati kuna janga la kidunia. Maana kama taifa lipo kwenye majanga kwa nini wapinzani watake kuchukua political advantage? Ni upuuzi wa kisiasa.

Sasa tena pamoja na kuwa mmekufa kifo cha mende bado mnaendekeza siasa za kishamba. Mnadhani kufurahia kuwepo kwa Covid 19 ndio advantage kisiasa? Wananchi tunawachora na huenda msinyanyuke kabisa hapo mlipolala kifo cha mende.
tuna itwa watanzania wajinga kumbe wame sample watu kama wewe
 
Kwenu wamekufa wangapi?
Na kabla ya corona tanzania watu walikuwa wankufa wangapi kwa siku au mwezi?
Lete data hapa tujue na sasa hivi wanakufa wangapi?

Hatutaki porojo zenu kwa kusema watu wanakufa ila nyie hamfiwi watu kwenu.

..nina rafiki wa karibu amefariki, na ndugu amelazwa.

..haya mambo siyo ya kuyachukulia kishabiki-shabiki.

..serikali imekosea sana KUPOTOSHA wananchi kuhusu hatari ya ugonjwa huu.
 
Fikra za kilevi hazitusaidii.Uliandika u
Mwaka jana wakati Covid 19 imepamba moto wabunge wa Chadema na Act wazalendo walitoka bungeni na kuamua kujiquarantine kihuni huku wakiwa tayari wamevuta mkwanja aka posho za kulia bata.

Kitendo hiki kilimuuzi kila mtanzania na kwa uhakika ndio sababu kubwa ya kuwaadhibu wapinzani kwenye sanduku la kura.

Wananchi walitoa adhabu kwa kutumia ballot paper sababu tu ya upinzani kukosa uzalendo wakati kuna janga la kidunia. Maana kama taifa lipo kwenye majanga kwa nini wapinzani watake kuchukua political advantage? Ni upuuzi wa kisiasa.

Sasa tena pamoja na kuwa mmekufa kifo cha mende bado mnaendekeza siasa za kishamba. Mnadhani kufurahia kuwepo kwa Covid 19 ndio advantage kisiasa? Wananchi tunawachora na huenda msinyanyuke kabisa hapo mlipolala kifo cha
Mwaka jana wakati Covid 19 imepamba moto wabunge wa Chadema na Act wazalendo walitoka bungeni na kuamua kujiquarantine kihuni huku wakiwa tayari wamevuta mkwanja aka posho za kulia bata.

Kitendo hiki kilimuuzi kila mtanzania na kwa uhakika ndio sababu kubwa ya kuwaadhibu wapinzani kwenye sanduku la kura.

Wananchi walitoa adhabu kwa kutumia ballot paper sababu tu ya upinzani kukosa uzalendo wakati kuna janga la kidunia. Maana kama taifa lipo kwenye majanga kwa nini wapinzani watake kuchukua political advantage? Ni upuuzi wa kisiasa.

Sasa tena pamoja na kuwa mmekufa kifo cha mende bado mnaendekeza siasa za kishamba. Mnadhani kufurahia kuwepo kwa Covid 19 ndio advantage kisiasa? Wananchi tunawachora na huenda msinyanyuke kabisa hapo mlipolala kifo cha mende.
Umeandika ukiwa usingizini.Pointless....
 
Ndugu hii post yako haina ukweli hata kidogo. Upinzani ulishinda sehemu nyingi, lakini tumeiba bila haya, tulitumia wizi wa kura mchana kweupe tena wa mabavu.

Inawezekananje Act Bara haina hata kiti kimoja, Chadema Bara ina mbunge mmoja tuu, kuna ukweli hapa.

Mfano mwengine ni tumefanya madhambi hata uchaguzi wetuwa ndani ya chama, Muheza ndugu ADADI alimshinda Mwana Fa kwa kura 500 alizozipata Adadi na Mwana Fa 200, kwanini Adadi akaangushwa.

Tushukuru bado watanzania ni mbumbumbu sana na hatuna ujasiri wa kudai haki zetu.
 
Mpumbavu:- mtu aliyepungukiwa na akili, mtu asiyeelewa kitu kwa sababu ya akili nzito; zebe, mbumbumbu, baghami, nyange, fala, jura, jahili, hambe, baha, zoba, juha
 
Mwaka jana wakati Covid 19 imepamba moto wabunge wa Chadema na Act wazalendo walitoka bungeni na kuamua kujiquarantine kihuni huku wakiwa tayari wamevuta mkwanja aka posho za kulia bata.

Kitendo hiki kilimuuzi kila mtanzania na kwa uhakika ndio sababu kubwa ya kuwaadhibu wapinzani kwenye sanduku la kura.

Wananchi walitoa adhabu kwa kutumia ballot paper sababu tu ya upinzani kukosa uzalendo wakati kuna janga la kidunia. Maana kama taifa lipo kwenye majanga kwa nini wapinzani watake kuchukua political advantage? Ni upuuzi wa kisiasa.

Sasa tena pamoja na kuwa mmekufa kifo cha mende bado mnaendekeza siasa za kishamba. Mnadhani kufurahia kuwepo kwa Covid 19 ndio advantage kisiasa? Wananchi tunawachora na huenda msinyanyuke kabisa hapo mlipolala kifo cha mende.
Wewe ni mwendazimu wa kiwango cha juu. Wizi ule wa kura, uingizaji wa kura hewa, kubdilisha kura na kutangaza tofauti na kura zilizopigwa, ndiyo ilikuwa chuki ya wananchi?

Uhayawani wenu utaendelea kuwaumiza.
 
Sijui ccm huwa inaokota wapi wajinga hawa

Hivi hiki MATAGA wanacholazimisha kuita
"Ugonjwa wa kupumua"
ni kitu gani?!!!
Huko CCM ndiyo kiwanda cha wajinga na wendawzimu. CCM inaungwa mkono na watu wajinga - TWAWEZA.

Nitajieni japo mtu mmoja ambaye ni mpambe wa CCM ambaye ni super intelligent.

Zaidi ya 70% ya wanaCCM ni watu wajinga wajinga sawa na huyu mleta mada.
 
Wewe ni mwendazimu wa kiwango cha juu. Wizi ule wa kura, uingizaji wa kura hewa, kubdilisha kura na kutangaza tofauti na kura zilizopigwa, ndiyo ilikuwa chuki ya wananchi?

Uhayawani wenu utaendelea kuwaumiza.
Ulitegemea Lissu ashinde urais? Wewe ushinde udiwani?
 
Daah jamaa ameandika sijui vitu gani aisee, Mpaka sasa iv hakuna wapinzani bungeni maana wamechelewesha mambo mengi kwa hyo sioni budi kuongelea watu ambao hawapo tena, nyie fanyeni kwa nafasi yenu baada ya hapo tutajua nani mkweli na muongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom