Kilichofanya upinzani ukatoswa Oktoba 2020 mmekisahau? Mbona mnarudia makosa?

Daah jamaa ameandika sijui vitu gani aisee, Mpaka sasa iv hakuna wapinzani bungeni maana wamechelewesha mambo mengi kwa hyo sioni budi kuongelea watu ambao hawapo tena, nyie fanyeni kwa nafasi yenu baada ya hapo tutajua nani mkweli na muongo
Kwani upinzani mpaka uwepo bungeni?
 
Mwaka jana wakati Covid 19 imepamba moto wabunge wa Chadema na Act wazalendo walitoka bungeni na kuamua kujiquarantine kihuni huku wakiwa tayari wamevuta mkwanja aka posho za kulia bata.

Kitendo hiki kilimuuzi kila mtanzania na kwa uhakika ndio sababu kubwa ya kuwaadhibu wapinzani kwenye sanduku la kura.

Wananchi walitoa adhabu kwa kutumia ballot paper sababu tu ya upinzani kukosa uzalendo wakati kuna janga la kidunia. Maana kama taifa lipo kwenye majanga kwa nini wapinzani watake kuchukua political advantage? Ni upuuzi wa kisiasa.

Sasa tena pamoja na kuwa mmekufa kifo cha mende bado mnaendekeza siasa za kishamba. Mnadhani kufurahia kuwepo kwa Covid 19 ndio advantage kisiasa? Wananchi tunawachora na huenda msinyanyuke kabisa hapo mlipolala kifo cha mende.
Hilo halina uhusiano na kilichotokea,kama umeamua iwekichaka cha kuuficha ukweli sawa.
 
Kama haukua uchaguzi mlishiriki ili iweje? Sio uchaguzi baada ya kushindwa?
-kasoro za uchaguzi wa 2020 zilikithiri hakuna uchaguzi mbovu kama ule
-Maboksi ya kura yalikamatwa na kura za ndio kwa ccm
-Hivyo basi US wamewawekea vikwazo walioharibu ule uchaguzi hence hadi international community haiutambui ule uchaguzi
 
Mwaka jana wakati Covid 19 imepamba moto wabunge wa Chadema na Act wazalendo walitoka bungeni na kuamua kujiquarantine kihuni huku wakiwa tayari wamevuta mkwanja aka posho za kulia bata.

Kitendo hiki kilimuuzi kila mtanzania na kwa uhakika ndio sababu kubwa ya kuwaadhibu wapinzani kwenye sanduku la kura.

Wananchi walitoa adhabu kwa kutumia ballot paper sababu tu ya upinzani kukosa uzalendo wakati kuna janga la kidunia. Maana kama taifa lipo kwenye majanga kwa nini wapinzani watake kuchukua political advantage? Ni upuuzi wa kisiasa.

Sasa tena pamoja na kuwa mmekufa kifo cha mende bado mnaendekeza siasa za kishamba. Mnadhani kufurahia kuwepo kwa Covid 19 ndio advantage kisiasa? Wananchi tunawachora na huenda msinyanyuke kabisa hapo mlipolala kifo cha mende.
Uttre Non Sense....Nani alikwambia Oct 2020 kulikuwa na uchaguzi?
 
Kwa akili ya kawaida unaweza kufananisha Covi 19 na Ukimwi?

Huna akili ww, Covid ni ugonjwa wa kuambukiza kama ilivyo ukimwi, labda ungesema kisukari, cancer nk ndio magonjwa tofauti na covid kwani sio ya kuambukiza, labda kama hujui unaoongea nini dogo.
 
Ndugu hii post yako haina ukweli hata kidogo. Upinzani ulishinda sehemu nyingi, lakini tumeiba bila haya, tulitumia wizi wa kura mchana kweupe tena wa mabavu.

Inawezekananje Act Bara haina hata kiti kimoja, Chadema Bara ina mbunge mmoja tuu, kuna ukweli hapa.

Mfano mwengine ni tumefanya madhambi hata uchaguzi wetuwa ndani ya chama, Muheza ndugu ADADI alimshinda Mwana Fa kwa kura 500 alizozipata Adadi na Mwana Fa 200, kwanini Adadi akaangushwa.

Tushukuru bado watanzania ni mbumbumbu sana na hatuna ujasiri wa kudai haki zetu.

..Adadi Rajabu alipewa jukumu la kuchunguza tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi. Baada ya hapo hatukumsikia akiwasilisha ripoti BUNGENI.
 
Mwaka jana wakati Covid 19 imepamba moto wabunge wa Chadema na ACT Wazalendo walitoka bungeni na kuamua kuji-quarantine kihuni huku wakiwa tayari wamevuta mkwanja aka posho za kulia bata.

Kitendo hiki kilimuuzi kila mtanzania na kwa uhakika ndio sababu kubwa ya kuwaadhibu wapinzani kwenye sanduku la kura.

Wananchi walitoa adhabu kwa kutumia ballot paper sababu tu ya upinzani kukosa uzalendo wakati kuna janga la kidunia. Maana kama taifa lipo kwenye majanga kwa nini wapinzani watake kuchukua political advantage? Ni upuuzi wa kisiasa.

Sasa tena pamoja na kuwa mmekufa kifo cha mende bado mnaendekeza siasa za kishamba. Mnadhani kufurahia kuwepo kwa Covid 19 ndio advantage kisiasa? Wananchi tunawachora na huenda msinyanyuke kabisa hapo mlipolala kifo cha mende.
Kwani Tanzania kuna covid hadi washangilie?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom