Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Vijana haswa hawa viongozi wa chuo wanajisahau sana baadaye wakirudi mtaana wanaanza kulalamika tena kwa hivi sasa wana platform wanaishia kuimba mapambio.
===
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za elimu ya Juu Nchini Ndugu Geofrey Kiliba akizungumza na viongozi WA Serikali y Wanafunzi Mkoani Kilimanjaro Tarehe 22 Aprili 2025.
Miongoni mwa mambo aliyyataja yaliyofanyw ana Rais Samia ni kuongeza fedha ya kujikimu (boom) kwa wanafunzi wa vyuo vikuu pamoja na mkopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati.