Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka Watanzania kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na wasaidizi wake wote, akisisitiza kuwa kufanya hivyo ni wajibu wa kiraia na pia ni takwa la maandiko matakatifu.
Akizungumza na wanahabari siku ya Jumapili, Kiliba amesema ushirikiano kwa viongozi wa nchi ni jambo la msingi kwa amani, ustawi na maendeleo ya taifa, huku akiwahimiza wananchi pia kuwaombea viongozi katika utekelezaji wa majukumu yao.
Ameeleza kuwa kwa mujibu wa imani ya Kikristo, kutii mamlaka ni agizo la Mwenyezimungu mwenyewe, akinukuu maandiko matakatifu yanayobainisha kuwa hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu. Amesema kutotii mamlaka ni kwenda kinyume cha maagizo ya Mungu aliyempa mwanadamu neema ya kuishi katika nchi aliyoiumba

Mamamaeeee wallah daaah....eti huyu naye si kwmb hajui kwmb ccm wameiba uchaguz na uchaguz haujafanyka na hakunaga MUNGU anayebariki mauaji, upotoshaji, uwongo na unafiki ila kaamua kumuwekamo MUNGU ili eti ajaribu kupotosha watanganyika ionekane serikali ni halali kikubwa anajtengenezea mazingira ya kupata teuzi.