Kili Music Awards, asiposhinda Harmonize, mtawajibika mwaka huu!

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,161
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Tabia ya Kili Music Awards kufanya figisu figisu kuwajaza mituzo Dai na Kiba sio ishu. Mwaka huu wote minyimbo yao mibayaaaa.

On the other hand Harmonise na wimbo wake wa Ayoola ni mtamu sanaaaaa. Aisee anastahili walau tuzo 5. Kiukweli tena.

Afu yuko very humble, interview alivoulizwa anmuonaje Kiba, akasema ni mwanamziki mzuri na anaweza kufanya nae kazi inaonesha ukomavuuu katika fani. Kiukweli huyu kijana asiposhinda walau tuzo 5 mwaka huu patachimbika kama Miss Tz palivochimbika.

===========

Aiyola:

Bado:
 
ea4e629efbdba4c549fd166df82c0eba.jpg

nadhani hakuna ubish
 
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Tabia ya Kili Music Awards kufanya figisu figisu kuwajaza mituzo Dai na Kiba sio ishu. Mwaka huu wote minyimbo yao mibayaaaa.

On the other hand Harmonise na wimbo wake wa Ayoola ni mtamu sanaaaaa. Aisee anastahili walau tuzo 5. Kiukweli tena.

Afu yuko very humble, interview alivoulizwa anmuonaje Kiba, akasema ni mwanamziki mzuri na anaweza kufanya nae kazi inaonesha ukomavuuu katika fani. Kiukweli huyu kijana asiposhinda walau tuzo 5 mwaka huu patachimbika kama Miss Tz palivochimbika.

Leo umekula ndondo za wapi....
 
We ni nani mpaka useme lazima apate tuzo?
 
tuzo za kili zinategemea zaidi kura, halafu nyimbo zinazohusika ni za mwaka jana, unataka kusema nyimbo za taifa kama chekecha na nana zikose tuzo? hapana aisee.. huyo dogo labda achukue upcoming

Hizi ndo siasa nazozikataaa! Nana na Cheketua were all hype and marketing. Zilikuwa promoted sanaaaa tu, ila hazina jipya. Ayoola ulikuwa wimbo wa underground, hakuna promo wala siasa ila umepokelewa kwa mikono miwili.

Tuache kutoa tuzo kwa majina, tutoe kwa mziki mzuriii.
 
lara 1 hata umpigie kiki vipi Harmonize, lakini atachukua tuzo moja tuu.
weka maneno yangu kama kumbukumbu utajionea mwenyeww wakati wa ugawaji tuzo.. UPCOMING ARTIST AWARD inamuhusu nothing else
 
Back
Top Bottom