Jamani mwenzenu tumbo linauma au hamjui ngojangoja yaumiza matumbo? Haya ngoja basi niseme hili ni swali la pili paper ya biology nimepata feki ila jibu ndo cjui na mie narisiti nipate mshahara mzuri wa kustaafia nisaidieni tafadhali elimu ya utuuzima shida bin tabu lol nanyasikanyasika mie lol
well said brother...haja kubwa ni utaratibu wa mwili kutoa mkusanyiko wa makapi mwilini ndio maana ktk mfumo wa umeng'enywaji wa chakula yenyewe ni hatua ya mwisho kabisa...sasa huwezi kunywa maji au bia ukajisikia haja kubwa maana hivi vitu huvyonzwa na mwili kabla hata ya kufika kwenye utumbo mpana. Fanya jaribio hili,fululiza kula vyakula visivyo na virutubisho, halafu pia jaribu kufululiza kula vyakula vyenye virutubisho...utagundua kuna utofauti wa kasi ya kwenda chooni ktk majaribio hayo mawili.Kuhusu watoto wadogo kupata haja kubwa kunatokana na wao tumboni mwao kuwa na enzymes za rennin(chymosin) ambazo kaze zake ni kugeuza maziwa kutoka hali ya umajimaji(soluble milk) kuwa hali ya uyabisi(insoluble milk) na kuruhusu mmeng'enyo wa kawaida, kuhusu watu kupata haja kubwa nisubiri nakuja na majibu ngoja kwanza niende toi
haja kubwa ni suala kubwa kidogo,haliwezi kuja kirahisi rahisi bila sababu ya msingi..................ukihic haja kubwa c bure,ni lazma umeona choo ama kichaka mahali!!