Da Womanizer
JF-Expert Member
- May 24, 2010
- 1,577
- 148
Ngoja nii-google hyo.Nadhani hata uma na vijiko ni haramu.
Ngoja nii-google hyo.Nadhani hata uma na vijiko ni haramu.
Wivu au??????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Huyu mama hana uzee kivile jamani! Sidhani hata ana miaka 45 she is still very young.
Waislamu huwa hawali kwa mkono wa kushoto. Kwahiyo hiyo protoko inayozungumziwa hapa ni dhahiri si ya kiislamu. After all hivi hizi protoko aliziweka nani kiasi kwamba inakuwa ni big deal ukizivunja????!!!!!!!!!!!!!!!!
Akha babu kubana nywele siku mojamoja, mavilemba kila kukicha inahuuuuuuuu, sura yenyewe inalipa sema tu mambo ya dini/imani yanambana, kama sio hivyo mbona mngekoma....
Mama Salma wajemeni si haba, mzee JK alituliaga ati!!