Kilemba ameacha wapi?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
JK_MAMA+%5B800x600%5D.JPG

Source: Michuzijr
 
First Lady wetu ni mzuri sana na ukiona mtu anaonekana uzuri wake mpaka uzeeni basi ujue ujana wake alikuwa ni mzuri mara 100
 
Akha babu kubana nywele siku mojamoja, mavilemba kila kukicha inahuuuuuuuu, sura yenyewe inalipa sema tu mambo ya dini/imani yanambana, kama sio hivyo mbona mngekoma....
 
Waislamu huwa hawali kwa mkono wa kushoto. Kwahiyo hiyo protoko inayozungumziwa hapa ni dhahiri si ya kiislamu. After all hivi hizi protoko aliziweka nani kiasi kwamba inakuwa ni big deal ukizivunja????!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nadhani hata uma na vijiko ni haramu.
 
Back
Top Bottom