Kile Tulichokisubiri Ni Hichi Hapa Kwa Wale Washabiki Wa EPL

2015-16 Real Madrid Atlético Madrid 1-1 (5–3)
2014-15 Barcelona Juventus 3-1
2013-14 Real Madrid Atlético Madrid 4-1
2012-13 Bayern Munich Borussia Dortmund 2-1
2011-12 Chelsea Bayern Munich 1-1 (4–3)
2010-11 Barcelona Manchester United 3-1
2009-10 Internazionale Bayern Munich

Tumia kichwa chako kufikiri my dear, kwenda kliniki na maternity gown ya bei kubwa hakukusaidii kuzaa mapacha. Nimekuekea list ya WINNERS na RUNNER UPS kuanzia 2010. Angalia number of entries kati ya La Liga na EPL, hapo ndio kwenye majibu ya nani mkali, maana mpira unachezwa uwanjani na sio DSTV.

La Liga 6 entries
Bundesliga 3 entries
EPL 2 entries na
Serie A 2.

Sasa hizo takwimu zako za DSTV zitaisaidia vipi Chelsea kuifunga Barcelona? Au wewe kwa akili yako kwa kuwa wengi wanaangalia ngono zaidi ya makala za biashara basi kwako ngono is more productive?
Luiz Suarez believes the unpredictability of the Premier League is what separates it from La Liga.

And the Barcelona forward also revealed he misses the crowd at Anfield and the uncertainty of results in English football.

Suarez joined Barcelona from Liverpool in 2015 and has gone on to win a domestic league and cup double, as well as the Champions League, Club World Cup and European Super Cup.

The 29-year-old may not have always hit the headlines for the right reasons in England, and he enjoyed far less success than he is currently experiencing in Spain, but he still seems to look back on his time at Liverpool with a lot of fondness.

"In the Premier League you never really know what is going to happen," Suarez told the Daily Mail."There is very little between the teams. Here, three or four teams aside, there is a difference with the smaller teams.
 
By Posting these Shit What are you trying to prove?
Coz Sioni Chochote badala Ya Majivuno Ya Kihistoria hapa! Mimi Nazungumzia Kinachoendelea Sasa Champion League na Wala Sizungumzii Historia iliyokwishapita.
Haya basi wewe jivunie FUTURE ambayo bado hujaipata. What I know, mpira unapigwa uwanjani na HISTORIA huandikwa.
 
Luiz Suarez believes the unpredictability of the Premier League is what separates it from La Liga.

And the Barcelona forward also revealed he misses the crowd at Anfield and the uncertainty of results in English football.

Suarez joined Barcelona from Liverpool in 2015 and has gone on to win a domestic league and cup double, as well as the Champions League, Club World Cup and European Super Cup.

The 29-year-old may not have always hit the headlines for the right reasons in England, and he enjoyed far less success than he is currently experiencing in Spain, but he still seems to look back on his time at Liverpool with a lot of fondness.

"In the Premier League you never really know what is going to happen," Suarez told the Daily Mail."There is very little between the teams. Here, three or four teams aside, there is a difference with the smaller teams.
Haya ni maneno tu ya Louis Suarez, Real Madrid, Barcelona na Atletico Madrid wanaprove kwa trophies.
 
wewe na wewe umetoka wapi Athelic Madrid kikombe gani.
Atletico Madrid ni finalist mara 2 ndani ya miaka 3. Ndani ya hiyo miaka 3, ni Juventus pekee ndio imefanikiwa kucheza final nje ya Wahispania. We kaa hapo piga kelele na kujifariji, lakini mpira unachezwa uwanjani.

2017 Manchester United
12.gif
England
2016 Sevilla FC
48.gif
Spain
2015 Sevilla FC
48.gif
Spain
2014 Sevilla FC
48.gif
Spain
2013 Chelsea FC
12.gif
England
2012 Atlético Madrid
48.gif
Spain
2011 FC Porto
39.gif
Portugal
2010 Atlético Madrid
48.gif
Spain

Tangu 2010, Europa imetoa washindi 5 Spain, wawili England na 1 Ureno.

Unaweza kujitoa fahamu kadiri uwezavyo, lakini takwimu zinaonesha kuwa, EPL ndio ina uwakilishi FINYU ukilinganisha na La Liga. Favorites wa EPL ndio wameiwakilisha England kwenye EUROPA lakini kwa La Liga anatumwa Sevilla na anadeliver. Kama EPL ndio ligi bora, ZIKO WAPI SECOND BEST ZA EPL ZISHINDANE NA SECOND BEST ZA LA LIGA KWENYE EUROPA?

Mnabana pua eti La Liga ni ligi ya timu 2, mbona sasa Sevilla na Atletico Madrid wanachuana na wale wale Man U na Chelsea kwenye Europa? Si tuzione basi na timu zingine za EPL?
 
mbona una panic na matusi, jambo rahisi tu league yako bora kwako wewe usilazimishe sisi tuwe kama wewe endelea kuangalia Sevilla maana ni haki yako hata La liga hakuna tatizo. sisi tunaangalia bora kwetu sisi EPL. Tunabishana kitu gani google ipo na majibu yote utapata huko lakini hilo sio mwisho. Muhimu unapenda la Liga angalia ndugu yangu kwa raha zako. Sijui hukuona spurs alichomfanya mbabe wenu Real.
 
mbona una panic na matusi
Unaweza kuhighlight sehemu ambayo nimeandika MATUSI?

, jambo rahisi tu league yako bora kwako wewe usilazimishe sisi tuwe kama wewe endelea kuangalia Sevilla maana ni haki yako hata La liga hakuna tatizo. sisi tunaangalia bora kwetu sisi EPL.
Sasa hapa ndio una PANIC na unaonesha UOGA. SISI ukimaanisha wewe na nani? Hapa naongea na wewe na naongea kwa takwimu za UWANJANI dhidi ya TAKWIMU ZA TV SUBSCRIBERS unazozileta wewe. Nimekuonesha kwa TAKWIMU kuwa hata ile second level ya La Liga imeiburuza First Level + Second Level ya EPL kwa Sevilla na Atletico Madrid kushinda Europa mara nyingi zaidi ya Man U, Chelsea, Arsenal, Tottenham & CO tangu 2010. Badala ya kujibu hoja ya kitakwimu unakuja KULIALIA eti umetukanwa...onesha TUSI.

Tunabishana kitu gani google ipo na majibu yote utapata huko lakini hilo sio mwisho. Muhimu unapenda la Liga angalia ndugu yangu kwa raha zako. Sijui hukuona spurs alichomfanya mbabe wenu Real.
Google basi ukopi FACTS za ubora uje upaste hapa nizione. Maana mi nimekuwekea RECORDS kutoka tovuti ya UEFA zikionesha vilabu vya La Liga vikifanya vizuri dhidi ya vile vya EPL, wewe unaleta tu ngonjera na kulialia na kususa.

NA KWA KUKUSAIDIA: Ukiambiwa FACTS usisuse wala kutoka nje ya mada kutafuta washangiliaji...ukweli hubaki kuwa ukweli...MIMI NI SHABIKI WA ARSENAL (tafuta uzi wa "Nimeacha rasmi kuishabikia Arsenal" nafikiri utanielewa ukisoma post zangu mule) na ninaangalia zaidi EPL kuliko La Liga, lakini hiyo sio sababu ya kukataa ukweli kuhusu ubora wa timu za La Liga dhidi ya Arsenal yangu.

1
ImageGallery-Originals-38-13438-2769_orig.png
Real Madrid CF
2
ImageGallery-Originals-38-13438-2641_orig.png
FC Bayern München
3
ImageGallery-Originals-38-13438-2636_orig.png
FC Barcelona
4
ImageGallery-Originals-38-13438-2617_orig.png
Club Atlético de Madrid
5
ImageGallery-Originals-38-13438-3522_orig.png
Juventus
6
ImageGallery-Originals-38-13438-3218_orig.png
Paris Saint-Germain FC
7
ImageGallery-Originals-38-13438-3277_orig.png
BV Borussia Dortmund
8
ImageGallery-Originals-38-13438-2753_orig.png
Sevilla FC
9
ImageGallery-Originals-38-13438-2737_orig.png
SL Benfica
10
ImageGallery-Originals-38-13438-2613_orig.png
Chelsea FC

Arsenal yangu hata Top Ten ya UEFA haipo, unataka niseme nini?

Ingia hapa upate takwimu kwa manufaa yako: http://www.ecaeurope.com/tabbed-content/club-ranking/
 
Unaweza kuhighlight sehemu ambayo nimeandika MATUSI?

Sasa hapa ndio una PANIC na unaonesha UOGA. SISI ukimaanisha wewe na nani? Hapa naongea na wewe na naongea kwa takwimu za UWANJANI dhidi ya TAKWIMU ZA TV SUBSCRIBERS unazozileta wewe. Nimekuonesha kwa TAKWIMU kuwa hata ile second level ya La Liga imeiburuza First Level + Second Level ya EPL kwa Sevilla na Atletico Madrid kushinda Europa mara nyingi zaidi ya Man U, Chelsea, Arsenal, Tottenham & CO tangu 2010. Badala ya kujibu hoja ya kitakwimu unakuja KULIALIA eti umetukanwa...onesha TUSI.

Google basi ukopi FACTS za ubora uje upaste hapa nizione. Maana mi nimekuwekea RECORDS kutoka tovuti ya UEFA zikionesha vilabu vya La Liga vikifanya vizuri dhidi ya vile vya EPL, wewe unaleta tu ngonjera na kulialia na kususa.

NA KWA KUKUSAIDIA: Ukiambiwa FACTS usisuse wala kutoka nje ya mada kutafuta washangiliaji...ukweli hubaki kuwa ukweli...MIMI NI SHABIKI WA ARSENAL (tafuta uzi wa "Nimeacha rasmi kuishabikia Arsenal" nafikiri utanielewa ukisoma post zangu mule) na ninaangalia zaidi EPL kuliko La Liga, lakini hiyo sio sababu ya kukataa ukweli kuhusu ubora wa timu za La Liga dhidi ya Arsenal yangu.

1
ImageGallery-Originals-38-13438-2769_orig.png
Real Madrid CF
2
ImageGallery-Originals-38-13438-2641_orig.png
FC Bayern München
3
ImageGallery-Originals-38-13438-2636_orig.png
FC Barcelona
4
ImageGallery-Originals-38-13438-2617_orig.png
Club Atlético de Madrid
5
ImageGallery-Originals-38-13438-3522_orig.png
Juventus
6
ImageGallery-Originals-38-13438-3218_orig.png
Paris Saint-Germain FC
7
ImageGallery-Originals-38-13438-3277_orig.png
BV Borussia Dortmund
8
ImageGallery-Originals-38-13438-2753_orig.png
Sevilla FC
9
ImageGallery-Originals-38-13438-2737_orig.png
SL Benfica
10
ImageGallery-Originals-38-13438-2613_orig.png
Chelsea FC

Arsenal yangu hata Top Ten ya UEFA haipo, unataka niseme nini?

Ingia hapa upate takwimu kwa manufaa yako: http://www.ecaeurope.com/tabbed-content/club-ranking/
Ndugu yangu mimi nakubaliana na wewe 100% katika miaka ya karibuni team za Spain zimekuwa zinafanya vizuri sana na mimi sibishi kuhusu hilo mbona liko wazi bila Google. tunacho ongelea hapa league bora kwa maana ya kuvutia na msisimko au tuseme burudani. Mimi nafurahi kusikia wewe Arsenal lakini usiwatupe team yako kwa sababu hawafanyi vizuri undugu hata katika matatizo. Mimi Liverpool na ubingwa tunaota tu lakini siwezi kuhama ndio napenda. na huku kwenye league pamoja na ubora wa team za Spain lakini sivutiwi kuwaangalia sana naona raha kutizama EPL najisikia na enjoy.
 
Atletco Vs Barca 1-1
Atlecto Vs RealMadrid 1-1
Atletco Vs Chelsea 1-2

RealMadrid Vs Tottnham 1-1
Tottenham Vs RealMadrid 3-1

Liverpool Kamaliza juu ya sevilla
Tottenhma Kamaliza juu Ya RealMadrid

Chelsea Kamaliza Juu ya Atletco...

Atletco yupo Europa sasa Hivi..

Epl wana Timu tano hatua ya makundi...

Spain Wana Timu 3... Na Zote znahati Hati ya kutokaa..
 
Sasa wewe unazungumzia PERSONAL PREFERENCES ambapo haziwezi kuwa proved kwa namba. Ipo tofauti kati ya LIGI BORA na LIGI YENYE MVUTO ZAIDI.

Ubora unapimwa na DELIVERY ilhali Mvuto unapimwa na ACCEPTANCE.

La Liga ndio Ligi Bora kwa sasa, na hilo linadhihirika kwa ufaulu wa vilabu vyake kwenye michuano ya Ulaya na Dunia.

EPL ndio Ligi yenye Mvuto kwa muda mrefu na hilo linadhihirika kwa mwitikio wa audience.
 
Epl wana Timu tano hatua ya makundi...

Spain Wana Timu 3... Na Zote znahati Hati ya kutokaa..
Winning a BATTLE is a far different thing from winning a WAR.

Utakuwa na maoni yapi (endapo) ikatokea Madrid /Barca wakashinda UCL na Atletico Madrid akashinda UEL?
 
Winning a BATTLE is a far different thing from winning a WAR.

Utakuwa na maoni yapi ( endapo ) ikatokea Madrid /Barca wakashinda UCL na Atletico Madrid akashinda UEL?

Hatujadilo Neno ENDAPO (only assumption) Bali Tunajadili REALITY..
 
Zamani Sikuwa Na Muda Wa Kuandika Post Zinazohusu La Liga Coz Bongo Hakukuwa na Washabiki Wa La Liga!
Washabiki Sote Tulikuwa EPL...
Ni Azam TV ndiye Aliyetuletea Washabiki Maandazi Wa La Liga...

So, Naandika Post Hizi Kwa Kuwajibu Wale Wanaoclaim Kuwa Kigenge Chao cha La Liga Ni Ligi bora Wakati Ni Upumbavu tu..
Acha uhuni nashabikia Laliga tangu mwaka 1997 we sema huna Dstv na hata mtaani huendi kuziangalia
 
Atletco Vs Barca 1-1
Atlecto Vs RealMadrid 1-1
Atletco Vs Chelsea 1-2

RealMadrid Vs Tottnham 1-1
Tottenham Vs RealMadrid 3-1

Liverpool Kamaliza juu ya sevilla
Tottenhma Kamaliza juu Ya RealMadrid

Chelsea Kamaliza Juu ya Atletco...

Atletco yupo Europa sasa Hivi..

Epl wana Timu tano hatua ya makundi...

Spain Wana Timu 3... Na Zote znahati Hati ya kutokaa..

Huu Ni Ukweli Mchungu Wasiopenda Kuusiki.. :D :D :D

Sasahivi Watakujia na Kelele za Kuwa Real na Barca Sana Makombe...

Yaani Badala Ya Kujadili Ubora Wa Ligi Yao na Average Ya Ubora Wa Timu zao! Basi Wao wanajadili Ubora Wa Real na Barca....

Eti Kwakuwa Sana Timu mbili tu zenye Investment Kubwa Kwa Kusajili Mchezaji wanayemtaka, Ndiyo ishakuwa Bora Ligi Nzima Kwa Timu Hizi 2....
 
Atletico Madrid ni finalist mara 2 ndani ya miaka 3. Ndani ya hiyo miaka 3, ni Juventus pekee ndio imefanikiwa kucheza final nje ya Wahispania. We kaa hapo piga kelele na kujifariji, lakini mpira unachezwa uwanjani.

2017 Manchester United
12.gif
England
2016 Sevilla FC
48.gif
Spain
2015 Sevilla FC
48.gif
Spain
2014 Sevilla FC
48.gif
Spain
2013 Chelsea FC
12.gif
England
2012 Atlético Madrid
48.gif
Spain
2011 FC Porto
39.gif
Portugal
2010 Atlético Madrid
48.gif
Spain

Tangu 2010, Europa imetoa washindi 5 Spain, wawili England na 1 Ureno.

Unaweza kujitoa fahamu kadiri uwezavyo, lakini takwimu zinaonesha kuwa, EPL ndio ina uwakilishi FINYU ukilinganisha na La Liga. Favorites wa EPL ndio wameiwakilisha England kwenye EUROPA lakini kwa La Liga anatumwa Sevilla na anadeliver. Kama EPL ndio ligi bora, ZIKO WAPI SECOND BEST ZA EPL ZISHINDANE NA SECOND BEST ZA LA LIGA KWENYE EUROPA?

Mnabana pua eti La Liga ni ligi ya timu 2, mbona sasa Sevilla na Atletico Madrid wanachuana na wale wale Man U na Chelsea kwenye Europa? Si tuzione basi na timu zingine za EPL?

Unaulizwa Atletico De Madrid Ana Kikombe Gani UCL?
Unajibu Eti Ni Finalist Mara 2....!!!! Huu Ni Mtihani kweli....!!!!

Usijidanganye Hakuna Timu Yoyote Ya La Liga Ukiacha Real na Barca inayoweza Kufurukuta na Kikombe UCL...
 
Yani hapa tunabishana na wachukiaji wa Epl Na sio wapenzi wa LaLiga....
Jiamini wewe, stand alone...habari za TU ni dalili ya kutojimudu kwa kile unachoamini na sasa unafanya collective bargaining. Unaposema TU.. mtaje basi na mwenzio mnayeshare nae keyboard kubishana. Hiyo moja.

Mbili, siku zote ukitaka kufanya maamuzi sahihi juu ya jambo fulani, suala la UPENZI liweke kando. Huna sababu ya kujivika au kumvika mwingine UPENZI wa ligi fulani sababu ameitaja positively.

Mimi binafsi naitazama zaidi EPL kuliko La Liga sababu timu yangu (Arsenal) inacheza EPL. Kwa minaajil hiyo, ninakuwa na mechi nyingi zaidi za kuzitazama kwani kila Arsenal anapocheza, natazama. Kwa kesi ya La Liga, ni mpaka iwe Barca vs Madrid, Madrid vs Atletico au Barca vs Atletico. Je, macho yangu yanaongeza ubora wa EPL? kuipenda kwangu Arsenal kumeisaidia Arsenal kuwa na mafanikio zaidi ya Barca?

kwangu mimi Arsenal itabakia moyoni lkn the fact is MPIRA UNACHEZWA UWANJANI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom