Kile Tulichokisubiri Ni Hichi Hapa Kwa Wale Washabiki Wa EPL

Unaulizwa Atletico De Madrid Ana Kikombe Gani ECL?
Unajibu Eti Ni Finalist Mara 2....!!!! Huu Ni Mtihani kweli....!!!!

Usijidanganye Hakuna Timu Yoyote Ya La Liga Ukiacha Real na Barca inayoweza Kufurukuta na Kikombe ECL...
ECL ndio nini?

Kuhusu Atletico Madrid ni vile kichwa chako umekiengage kubishana lakini hapo kwenye list ungeona wazi mwaka 2010 na 2012 Atletico Madrid ndio bingwa wa Uefa Europa League na 2014 na 2016 Atletico Madrid amecheza final za Uefa Champions League, hatua ambayo hauifikii kwa kuangaliwa sana kwenye TV bali kwa kupiga mpira uwanjani.
 
Acha uhuni nashabikia Laliga tangu mwaka 1997 we sema huna Dstv na hata mtaani huendi kuziangalia

Kwahiyo Hii EPL nilikuwa nikiiangalia Kwenye Ndoo ya Maji au?

Huu Ni Uongo Wa Wazi kabisa!!!
Mwaka 1997 Barcelona ulikuwa Ni Uchochoro tu ECL mpaka Ronaldo akawakimbia! Na Kipindi Hichi pia Real nilikuwa Ni Uchochoro ECL...
Sasa Washabiki Hao mulitokea wapi wakati Kipindi Hichi La Liga nilikuwa Sawa na Ligi ya Scotland au Sweden???

Nadhani umesahau Kuwa Real ilianza Kurudi Kama Mpambanaji Ulaya Mwaka 1998 Kwa Msaada Wa Raul, MacCmanaman na Morientes pale mbele, Huku ulinzi ukiimarishwa na Hiero na Carlos Ndiyo ikaanza Kufufuka...

Barcelona imefufuka Mwaka 2006 Kwa Kikosi Cha Dhahabu ambacho Ndiyo Hivi Kinaendelea Kumalizika Manake Kabaki Messi na Iniesta Peke Take...

So 1997 Hakukuwa na Mwenye Muda Wa Kutazama La Liga Kwani Haikuwa na Utambulisho wowote...

Wakati Huu Ulikuwa Ni Wa Serie A.
 
ECL ndio nini?

Kuhusu Atletico Madrid ni vile kichwa chako umekiengage kubishana lakini hapo kwenye list ungeona wazi mwaka 2010 na 2012 Atletico Madrid ndio bingwa wa Uefa Europa League na 2014 na 2016 Atletico Madrid amecheza final za Uefa Champions League, hatua ambayo hauifikii kwa kuangaliwa sana kwenye TV bali kwa kupiga mpira uwanjani.

Wewe unamatatizo Kweli!!! Hata Man United last Season amechukua Uefa Europa League lakini hama tunamtumia kama hoja??

Kwasababu Europa League Ni Micky Mouse Cup Mashindano ya Wale failures Wa Champion League!!!

Wewe Unafikiri hawa Waliopo Champio League wangeruhusiwa Kushiriki na Europa Huyo Atletico wako Angebeba Hilo Kombe mbele ya Wanaume??

Hilo Ni Kombe Micky Mouse la wale Walioshindwa Kuendelea Na Champion League...

Tunataka Huku UCL Kwenye Wanaume Wababe Kafanya nini?
 
Mnabana pua eti La Liga ni ligi ya timu 2, mbona sasa Sevilla na Atletico Madrid wanachuana na wale wale Man U na Chelsea kwenye Europa? Si tuzione basi na timu zingine za EPL?

Kwahiyo Zile Man City, Spurs, Liverpool huzioni Ama unajizuzua tu?
 
Wewe unamatatizo Kweli!!! Hata Man United last Season amechukua Uefa Europa League lakini hama tunamtumia kama hoja??

Kwasababu Europa League Ni Micky Mouse Cup Mashindano ya Wale failures Wa Champion League!!!

Wewe Unafikiri hawa Waliopo Champio League wangeruhusiwa Kushiriki na Europa Huyo Atletico wako Angebeba Hilo Kombe mbele ya Wanaume??

Hilo Ni Kombe Micky Mouse la wale Walioshindwa Kuendelea Na Champion League...

Tunataka Huku UCL Kwenye Wanaume Wababe Kafanya nini?
Najua akili unayo ila unajitoa fahamu kwa aibu. Kumbe unajua kuwa UEL ni Micky Mouse Cup eeeh? Sasa sikia ukweli mchungu....

Wakati First Cream ya La Liga (Madrid & Barca) inafanya kwenye UCL, First Cream ya EPL (Man City & Chelsea) inakimbizwa mbio kali na Second Cream ya La Liga kwenye Micky Mouse Cup...tehe tehe tehe! Sasa jiulize ewe mwenye ligi bora, iko wapi Second Cream ya EPL ishindane na Atletico na Sevilla?
 
Sasa wewe unazungumzia PERSONAL PREFERENCES ambapo haziwezi kuwa proved kwa namba. Ipo tofauti kati ya LIGI BORA na LIGI YENYE MVUTO ZAIDI.

Ubora unapimwa na DELIVERY ilhali Mvuto unapimwa na ACCEPTANCE.

La Liga ndio Ligi Bora kwa sasa, na hilo linadhihirika kwa ufaulu wa vilabu vyake kwenye michuano ya Ulaya na Dunia.

EPL ndio Ligi yenye Mvuto kwa muda mrefu na hilo linadhihirika kwa mwitikio wa audience.
Unajuwa mimi nataka nijiamulie mwenyewe kipi bora maana tukianza kufuata wanacho tuambia hichi bora wakati mimi mwenyewe siamini kuwa ni bora hapo ni tatizo. Ni kama vile sikubaliani na FIFA rankinks eti Portugal ya 2 na Spain ya 6 au sijui Switzeland na Poland ni bora kuliko France na Italy. Peru, Chile na Colombia bora kuliko Italy, England halafu nitoke mbele za watu niseme Poland bora Spain. Ni kama kusema hizi status ignore
 
Kwahiyo Zile Man City, Spurs, Liverpool huzioni Ama unajizuzua tu?
Sijasema kushiriki, kama ushiriki tu hata Arsenal yangu na Qarabang zinashiriki, nazungumzia kubeba ubingwa.

By the way Liverfool gani unawazungumzia, hii makumbusho ya Anfield? Hiyo nayo timu?
 
Unajuwa mimi nataka nijiamulie mwenyewe kipi bora maana tukianza kufuata wanacho tuambia hichi bora wakati mimi mwenyewe siamini kuwa ni bora hapo ni tatizo. Ni kama vile sikubaliani na FIFA rankinks eti Portugal ya 2 na Spain ya 6 au sijui Switzeland na Poland ni bora kuliko France na Italy. Peru, Chile na Colombia bora kuliko Italy, England halafu nitoke mbele za watu niseme Poland bora Spain. Ni kama kusema hizi status ignore
Ruksa mbona. Hajazaliwa bado wa kukukataza kuamini kuwa bondia wako ndio bora sababu anashangiliwa zaidi kila anaponyanyuka akiangushwa na makonde mazito ya mpinzani. Lakini mwisho wa siku, regardless ya makofi na vigelegele, mkanda HATAVALISHWA aliyepigwa knock-out. Ndio maana kombe lipo Madrid huku taarab zinaimbwa London
 
Ahsante kombe likija kwetu taarab itahamia kwenu tena taarab asili.
 
Ni kweli Real na Barca bora kwa misimu fulani mfululizo sio league bora. kuna tofauti kubwa league bora na team bora.
Unambie tu website gani niingie naweza kuta hicho kioja unachoongea mzee
45d20cb35a374def2677a3353004cde7.jpg
au epl ligi bora kwa mujibu wako wewe ????
 
Unambie tu website gani niingie naweza kuta hicho kioja unachoongea mzee
45d20cb35a374def2677a3353004cde7.jpg
au epl ligi bora kwa mujibu wako wewe ????
Ungebandika tu na FIFA kuwa Portugal ni bora kuliko Spain and Switzeland bora kuliko France na Italy. Yaani wewe ukiambiwa tu basi hutumii na akili zako. wao hawana criteria zaidi ya points katika UEFA. Mimi siwaelewi mnalazimisha watu waangalie kitu hawakitaki lazima mkubali watu wako EPL ndiko wana enjoy league ya ushindani mimi hapa siongelei CL. Maana hata CL tano za Real walishindwa wakati wa black and white team zilikuwa zina alikwa kama card ya harusi. changanya na akili zako kidogo acheni copy paste.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom