dem boy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 5,851
- 14,515
Kana kwamba unaweza badili ukweli wa kwamba La liga ni ligi bora kuliko Epl kwa misimu kadhaa mfululizo uuuhhhh !!!!!Jamani msichukie, mpira ni furaha na utani ndio raha yenyewe. sisi ni wapenzi wa EPL haina maana nyinyi La liga ndio hamjui. Kuna ukweli mmoja tu hauwezi kubadilika hata hiyo miaka ambayo tulikuwa hatufanyi vizuri CL ila ndio kwanza EPL ikawa unavunja record ya pesa na kuangaliwa na watu wengi duniani. mwaka jana pesa aliyepokea aliyeshuka daraja alichukuwa pesa ndefu kuliko Athletico Madrid. kizuri kina bei yake haiji kwa bahati. tunajuwa kabisa huwezi kununua BMW kwa bei Hyundai.