Kilaza huyu

aisee ni shida..anaweza akawa ni bingwa wa mwandiko. tatizo la kuogopa sana namba yaani kuona kwamba namba na mahesabu ni makitu flani hatari sana ambayo ni watu wachache wenye ujanja wa kucheza nazo. kumbe sio kweli kwani kila kitu ni hesabu ila zina fanyika katika namna tofauti
 
Hili kweli tatizo aisee. Hesabu ni shida kwa watu wengi sana. Sijui jamaa alifikiria nini
 
Si unajua picha inabeba ujumbe zaidi kuliko mandishi/Tarakimu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…