Kilango Malecela na sakata la Tegeta Escrow

Kilango Malecela na sakata la Tegeta Escrow

Jamani huyu mama c kwamba alikuwa mpinga ufisadi wa kweli,alifanya vile kipindi cha richmond kisa kulikuwa na bif kati ya Team Malecela iliyoraluliwa vipandevipande na Lowassa aliyekuwa kinara kwenye team Kikwete 2005!Pia,wakati wa bunge la bajeti,ni moja ya watu walioitetea sana bajeti ya Muhongo,na aliwakejeli sana wapinzani!Ningemshangaa safari hii angekuja na wimbo gani tena!
 
Alishakalishwa chini huyo... Chezea sisiemu wewe!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Mkuu hiyo kamba ni ndefu mpaka baadhi ya wajumbe wa kamati yake ya nishati na madini wamo .Subiri Muhongo na Maswi wamwagwe.
 
Huyu Mama yeye alishakwapua zamani hela zake na wanawe (sio Le Mutuz) alipewa sanduku na Mhindi ampelekee mgombea huko Dodoma walipofika Mikese wakadai wametekwa na majambazi na hela yote kuibiwa, Mzee wa watu alilia sana na akakosa kuteuliwa.
Huyu Mama ana Hotel kubwa sana maeneo ya Airport karibu na Dodoma Inn akishirikiana na Mkibosho mmoja mwenye City, anaDuka kubwa la nguo (za Wedding)
Kwa hiyo hawezi piga kelele kwani huenda alishamegewa hii kitu escrow tangu January mwaka huu kwani ni mjana sana kwa vitisho, asingekaa kimya

Nimeshangaa sana kuona wale waliojitangaza sana kuwa ni wapambanaji imara wa ufisadi, ghafla kukaa kimya kama ndege aliyenyeshewa na mvua. Wamekumbwa na ugonjwa gani hawa wapambanaji wetu? Kama na wao walifaidi pesa za kwenye mifuko ya Rambo kule STANBIC basi wajiandale kunyolewa.
 
Ukipewa uwaziri au ukisha pokea peasa ya rushwa ujue umeshakuwa kilema au kipofu. Zinakuja issues unaishia kumung'unya maneno
 
mleta mada elewa tu njaaaa mbaya sana....hao watakuwa wametulizwa na ankaraaaa tu
 
Huyu mama, aliyeyekuwa anajipambanua kuwa ni kiboko ya mafisadi, mbona kwenye hili saga hajaongea chochote?

Pia naomba kujua, kwanini waliojitangaza kugombea uraisi, waliopo bungeni, mbona hawaonyesha upande wao kwenye hili sakata?

mbunge Wangu
Naye amepigwa ganzi, duh
 
Huyu Mama yeye alishakwapua zamani hela zake na wanawe (sio Le Mutuz) alipewa sanduku na Mhindi ampelekee mgombea huko Dodoma walipofika Mikese wakadai wametekwa na majambazi na hela yote kuibiwa, Mzee wa watu alilia sana na akakosa kuteuliwa.
Huyu Mama ana Hotel kubwa sana maeneo ya Airport karibu na Dodoma Inn akishirikiana na Mkibosho mmoja mwenye City, anaDuka kubwa la nguo (za Wedding)
Kwa hiyo hawezi piga kelele kwani huenda alishamegewa hii kitu escrow tangu January mwaka huu kwani ni mjana sana kwa vitisho, asingekaa kimya

Fact...!
 
Kuna aliyemsikia January Makamba?hivi kwanza alikuwepo kwenye vikao hivi vya ESCROW?huyu dogo nadhani hafai kabisa hata kufikiriwa tu nafasi ya Uraisi,nadhani ni mtu anaye condone mambo ya Kifisadi.Huu ulikuwa wakati wake muafaka wa kuonyesha watanzania msimamo wake kwenye kupinga ufisadi,bahati mbaya hakuona umuhimu wa huu mjadala in relation to 2015 election.Sikuwahi kuvutiwa na Mwigulu lakini this time ameanza kuni impress
 
Kamati ya bunge nishati na madini
1.Mh Victor Mwambalasa ( mb Lupa) Mwenyekiti
2.Mh Ndasa - Makamu mwenyekiti
3.Mh Anne Killango Malecela -mjumbe
-
-
-
-
-
-
-
-
Na ikumbukwe kuwa Mh Mwambalasa ni mjumbe wa bodi ya Tanesco chini ya mwenyekiti maj gen mstaafu Mboma.Na jambo la kustaajabisha gwiji la sheria Dr Harrison Mwakyembe hakuchangia hoja wala kutoa msaada wa kisheria kuhusiana na mapendekezo ya kamati.

Mbombo ngafuuuu..

cc: Pasco wa Jf
 
Last edited by a moderator:
'I believe in actions more than in words,most of people especially politicians are talking about corruption but not fighting against corruption'.Dr. Hoseah UDSM last year (2013)
 
Last edited by a moderator:
Kamati ya bunge nishati na madini
1.Mh Victor Mwambalasa ( mb Lupa) Mwenyekiti
2.Mh Ndasa - Makamu mwenyekiti
3.Mh Anne Killango Malecela -mjumbe
-
-
-
-
-
-
-
-
Na ikumbukwe kuwa Mh Mwambalasa ni mjumbe wa bodi ya Tanesco chini ya mwenyekiti maj gen mstaafu Mboma.Na jambo la kustaajabisha gwiji la sheria Dr Harrison Mwakyembe hakuchangia hoja wala kutoa msaada wa kisheria kuhusiana na mapendekezo ya kamati.

Mbombo ngafuuuu..

cc: Pasco wa Jf

hapa ndo huwa nawadharau wanasiasa,wanafki,wazandiki,vizabizabina sanaaaa
 
Last edited by a moderator:
Huyu mama, aliyeyekuwa anajipambanua kuwa ni kiboko ya mafisadi, mbona kwenye hili saga hajaongea chochote?

Pia naomba kujua, kwanini waliojitangaza kugombea uraisi, waliopo bungeni, mbona hawaonyesha upande wao kwenye hili sakata?

Huyo Mama ni Mjanja alivuta Mkwanja kwa Mengi kisha akaenda kuvuta kwa akina Mhongo yaani kavuta huku na huku , kapiga kote kote, Kisha kajikausha wale wabunge wote waliokuwa Kiimya walikuwa wamekula Pesa za pande zote ndiyo maana wakauchuna na kukacha Vikao.
 
Pesa ni Sumu kubwa yy alivuta Pesa za pande zote akaamua kukaa Kiimya maana nafsi inawasuta , ni mwendo wa Neema kwa wabunge Wakora wakora, ( kufa kufa ana )
 
Kamati ya bunge nishati na madini
1.Mh Victor Mwambalasa ( mb Lupa) Mwenyekiti
2.Mh Ndasa - Makamu mwenyekiti
3.Mh Anne Killango Malecela -mjumbe
-
-
-
-
-
-
-
-
Na ikumbukwe kuwa Mh Mwambalasa ni mjumbe wa bodi ya Tanesco chini ya mwenyekiti maj gen mstaafu Mboma.Na jambo la kustaajabisha gwiji la sheria Dr Harrison Mwakyembe hakuchangia hoja wala kutoa msaada wa kisheria kuhusiana na mapendekezo ya kamati.

Mbombo ngafuuuu..

cc: Pasco wa Jf

Mwakyembe ana Mabomu Mengi yanasubiri kulipuka mda wowote,Tren toka Airport na huko bandarini napo bila kusahau Tren za kwenda mwanza kinoma na Tazara , kwa kweli Mwakyembe ana haki ya kuuchuna kutokana na hali ilivyo sasa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom