Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,502
Hii ngoma nzito mkuu wengine walikua kama hawapo huwasikii kusupport au kupinga .Hii ngoma ya escrow inaonyesha viongozi wengi wa ccm wanainusa. Sasa wanaogopana
Hii ngoma nzito mkuu wengine walikua kama hawapo huwasikii kusupport au kupinga .Hii ngoma ya escrow inaonyesha viongozi wengi wa ccm wanainusa. Sasa wanaogopana
Kimsingi hapo sasa Le mutuz atamwita nani Nape? Baba wa kambo au? Maana huyu ni mama wa kambo, halafu huyu ni mshika wa mama wa kambo?
Azimio la Baraza la JF; JF kwa mamlaka iliyonayo inaazimia na kupendekeza kuwa Le mutuz amwite Nape kwa jina la " Uncle"
Kweli hakusikika kusema chochoteKamati ya bunge nishati na madini
1.Mh Victor Mwambalasa ( mb Lupa) Mwenyekiti
2.Mh Ndasa - Makamu mwenyekiti
3.Mh Anne Killango Malecela -mjumbe
-
-
-
-
-
-
-
-
Na ikumbukwe kuwa Mh Mwambalasa ni mjumbe wa bodi ya Tanesco chini ya mwenyekiti maj gen mstaafu Mboma.Na jambo la kustaajabisha gwiji la sheria Dr Harrison Mwakyembe hakuchangia hoja wala kutoa msaada wa kisheria kuhusiana na mapendekezo ya kamati.
Mbombo ngafuuuu..
cc: Pasco wa Jf
Kuna aliyemsikia January Makamba?hivi kwanza alikuwepo kwenye vikao hivi vya ESCROW?huyu dogo nadhani hafai kabisa hata kufikiriwa tu nafasi ya Uraisi,nadhani ni mtu anaye condone mambo ya Kifisadi.Huu ulikuwa wakati wake muafaka wa kuonyesha watanzania msimamo wake kwenye kupinga ufisadi,bahati mbaya hakuona umuhimu wa huu mjadala in relation to 2015 election.Sikuwahi kuvutiwa na Mwigulu lakini this time ameanza kuni impress
Sophia Simba alimfunulia madhambi yake yote ikiwemo kuhongwa fedha na jeetu Patel..kama mnakumbuka alitekwa kwenye lile pori kabla ya kufika Morogoro mjini akitokea Dar..watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi lkn kuna tetesi kuwa walikuwa ni watu wa usalama, kwanza walionja lile tunda la Adamu na Eva halafu wakamnyang'anya fedha zote ambazo zilikuwa zitumike kuhonga wajumbe wa mkutano mkuu.Alishakalishwa chini huyo... Chezea sisiemu wewe!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Point of Correction: Ni Jenerali Mstaafu Mbona na sio Meja Jenerali MstaafuKamati ya bunge nishati na madini
1.Mh Victor Mwambalasa ( mb Lupa) Mwenyekiti
2.Mh Ndasa - Makamu mwenyekiti
3.Mh Anne Killango Malecela -mjumbe
-
-
-
-
-
-
-
-
Na ikumbukwe kuwa Mh Mwambalasa ni mjumbe wa bodi ya Tanesco chini ya mwenyekiti maj gen mstaafu Mboma.Na jambo la kustaajabisha gwiji la sheria Dr Harrison Mwakyembe hakuchangia hoja wala kutoa msaada wa kisheria kuhusiana na mapendekezo ya kamati.
Mbombo ngafuuuu..
cc: Pasco wa Jf
Point of Correction: Ni Jenerali Mstaafu Mbona na sio Meja Jenerali MstaafuKamati ya bunge nishati na madini
1.Mh Victor Mwambalasa ( mb Lupa) Mwenyekiti
2.Mh Ndasa - Makamu mwenyekiti
3.Mh Anne Killango Malecela -mjumbe
-
-
-
-
-
-
-
-
Na ikumbukwe kuwa Mh Mwambalasa ni mjumbe wa bodi ya Tanesco chini ya mwenyekiti maj gen mstaafu Mboma.Na jambo la kustaajabisha gwiji la sheria Dr Harrison Mwakyembe hakuchangia hoja wala kutoa msaada wa kisheria kuhusiana na mapendekezo ya kamati.
Mbombo ngafuuuu..
cc: Pasco wa Jf
Kuna habari kuwa mama Kilango aliugua kichwa kibao mithili ya kuchanganyikiwa. Huenda alitakiwa apunzike kuongea. Ila siasa ziogope sana.
Mwacheni shangazi! Alichofanyiwa baada ya zile siku alivocharuka bungeni, ni Mungu tu anajua. Kwanza ni jasiri hata kuwa anaendelea kuja mjengoni!!
Hii nchi wacha bana!
Sijui kina Zitto, Lissu, Mnyika, Kafulile, Deo e.t.c. wana kinga gani? Mbowe najua wanamwogopa, jamaa ni mafia to the core. Lakini hao wenzangu na mimi. Mh. Labda ma Zitto kwa teknolojia ya kiafrika.
alikuwepo bungeni kama vile amemwagiwa maji, na kama vile mdomo umewekwa plasta.
Ila mama Kilango ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wa kikao cha maridhiano hapo jana kama nilimsikia hivyo Wassira akisema.