Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,954
Kutoa lock.
Ukikaribia kilingeni umepata bia Chache washikaji wanasema " Kichwa bado haijapata Moto"
Mbona hugongi beer mzee. Fungu valve kichwa ipate Moto .
Kuna majina wanywaji mnapeana. Pale kisutu kulikuwa na jamaa mlevi aliitwa Kibwetere, mwingine Macho, Defao, mzeewa gado huyu jamaa akilewa anasema Niko gadoooo.
Sent using Jamii Forums mobile app

tatizo la balimi kesho yake ukitoka chooni kama umetoka kuharibu mtambo wa wanzuki harufu haiishi siku nzima, Mimi ndio nimeacha kabisa maana hata hizo za buku jero kuna siku nashindwa sasa hivi nimehamia huku kuna post ukizifuatilia unalewa vizuri tu.