kila tunapo du....

Sailor Boy

Senior Member
Nov 25, 2010
103
5
wana jf nisaidieni nina gf wangu ambae tumekaa nae mda mrefu, ila ckuizi kuna tatizo linanisumbua kila tunapo have sex lazima atoke dam tatizo ni nini naombeni ushauri.
 
Weka wazi anatoka damu sehemu gani? Mdomoni? Puani? Masikioni?
Ulishamuona dr wamagonjwa ya wanawake?
Kama bado hujamuona dr tafadhari nenda hima!!!
 
wana jf nisaidieni nina gf wangu ambae tumekaa nae mda mrefu, ila ckuizi kuna tatizo linanisumbua kila tunapo have sex lazima atoke dam tatizo ni nini naombeni ushauri.
 
Code:
wana jf nisaidieni nina gf wangu ambae tumekaa nae mda mrefu, ila ckuizi   kuna tatizo linanisumbua kila tunapo have sex lazima atoke dam tatizo   ni nini naombeni ushauri.

kwa nini mna-do?......................yawezekana ana kansa ya kizazi au...............................amejeruhiwa na kitu fulani.....................hilo ni tatizo linalohitaji uchunguzi wa dakitari..........................mharakishe hospitalini usisubiri uadaku wa humu jamvini.............
 
hilo linaweza kuwa tatizo kubwa kama mkibweteka nalo so inabidi muende kumuona dk kwa ushauri zaidi.
 
Nadhani tatizo linaweza upo kama jogoo haumwandai, au umebarikiwa mtwangio kiasi kwamba unamuumiza. Hebu cheki haya na kama tatizo litaendelea see a doctor.
 
Hujafafanua damu huwa ni nyingi kiasi gani but kwa jinsi ninavyoelewa kama utakuwa na mtwangio mrefu bac ni rahisi kufika karibu na mlango wa uzazi ambapo ngozi ya kule ni laini sana na hapo unakuwa umejeruhi ila huwa panapona penyewe na hakuna tatizo hapo.Na damu yenyewe huwa ndogo au kama ya hedhi vile.Kama walivyosema baadhi ya wachangiaji kuwa huenda ana kansa ya kizazi sio kweli. . .Hujaeleza ni kiwango gani hiyo damu inayotoka lakini kama ipo kama nilivyoeleza bac mambo poa ila kuwa makini coz ukileleza kidogo tu anaweza pata mimba.
 
wana jf nisaidieni nina gf wangu ambae tumekaa nae mda mrefu, ila ckuizi kuna tatizo linanisumbua kila tunapo have sex lazima atoke dam tatizo ni nini naombeni ushauri.

It can be due to cervisitis,cervical polyp,or early stage of endometrial cancer

for more investigation,concern gynercologist
 
Hilo tatizo lilianza lini? je, siku za nyuma alikuwa hatoki damu au tangu mmeanza kufanya damu inatoka? hebu fafanua.
 
Kwa nini umekua mzembe ivyo kila mara anatokadamu nawe bado una do, Jaribu kumshauri mwenzio akamuone DR.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom