Kila tufanyapo anazirai

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Jamani nimepata kiwewe ,sasa sijui huwa mmekutana nayo kwa wengine ,hadi sasa bado sijaelewa hiri ni tatizo au ni raha ,mdemu huwa anazimia na kupote kupoteza fahamu kabisa ,hii hali kuna aliewahi kukutana nayo ,au anamatatizo ?
 
Mmh huyo atkufia akaadithie utamu kuzimu.... akikaribia kuzirai usiendeleeeeee
 
Ilinitokea one day alizirai kabisa hajitambui bahati nzuri kulikua na glucose nikamwekea ikasaidia tu kustuka so niliita tax mara moja nikampeleka nearest health centre akaenda kupata bed rest ya two hours wakamtundikia drip mbili za maji na kumpima presha. Hapo ni saa nne usiku ndio anaruhusiwa na kwao ni Mbagala mwisho tulipo ni Ubungo.
 

Duh ,na huyu kwao ni mbagala ukielekea chamanzi:suspicious:
 
Jamani nimepata kiwewe ,sasa sijui huwa mmekutana nayo kwa wengine ,hadi sasa bado sijaelewa hiri ni tatizo au ni raha ,mdemu huwa anazimia na kupote kupoteza fahamu kabisa ,hii hali kuna aliewahi kukutana nayo ,au anamatatizo ?

jipe sifa! huwa unamkuna penyewe! hongera!
 
Visa visanga matatizo bin lukuki
 
amazimia sasa hivi mlianza muda gani???

maana ulivyoandika harakaharaka najua ni muda mfupi uliopita umetoka kuzini
 
Acha uongo mtu apoteze fahamu na urudie mechi mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…