Pole kwa yaliyokusibu ijapokua weng wanafanya kama utani katika jambo ambalo linakumiza, kiufupi mwanamke mjamzito anaitaji upendo Wa karibu na mumewe na kumjali katika hali aliyonayo miez 4 kulala na mwanaume kitanda kimoja bila sex hapo hakuna haki ,ninajua jins unavyoumia mana hupat haki ya ndoa na faraja katika hali uliyonayo, kiuhalisia mumeo Tayar kashanaswa na penz la pembeni hivyo hana upendo na ww, kitendo cha yy kukudanganya anakua kachoka hiyo haipo mwanaume uchoke kazin miez 4 bila kusex hiyo c haki, nikusii vumilia uzae mwanao ila usome pia nyakat mana nahis Huyo kakuchoka na hakuhitaji, hivyo ukishajifungua kama hali ni hiyo hiyo bas jaribu kushirikisha wazaz ndugu waliongelee ikishindikana mchukue mwanao umlee mana kaz unayo pia kitendo cha yy kurud ucku Tayar atakua anapenz pembeni lililokolea, pole sana ila pia nikujifunza kua wanaume hua weng hawana msimamo na ni viumbe katili na hapo utakuta mwanaume Wa hivyo miez 4 humpi mkeo penz we unagawa kwa michepuko mwishon mkeo anamua kutafuta faraja nje unaishia kumwita Malaya, HIV ni nn sababu yakuoa, na ukitaka kujua mapenz ya ukweli nipale mmoja wenu anapokua mbali ndio unakuta jamaa hangaiki kama hiv akimpigia cm anamgombeza ila dunian kuna vituko wengine wanalia hawapigiw cm na wapenz wao, wengine wanapiga cm respond hakuna, nikusih tena kua mvumilivu ujifungue usome ramani hapo hakuna ata chembe ya upendo kabisa