kweli mimi napenda mtu wangu anitreat in a friendly manner mengine ni ziada tukweli kabisa aisee...ila most of r'ship ni tamaa za kitu flani alichonacho mwenzi na sio urafirki, hasa body parts...kwa guys ni hips, ****, boobs...lakini mwanaume akishazoea tu alichotamani na kukiona cha kawaida, kwishaaa...ila kama uhusiano ungejengwa kwa urafiki mambo yangekuwa safi
mpenzi wako akiwa rafiki yako...mean best friend wako ni raha sana
urafiki ni mzuri kuliko hata mapenzi yenyewe
na hapo law ya friends with benefits inaaply vizuri
na benefits zenyewe ndo mapenzi nk
je wewe mpenzi wako or mchumba wako au mkeo ni rafiki yako
wengine humu hata hawasalimiani na wake/waume zao but ni wanandoa shame on you! tena wengine eti wanalala room tofauti ,upuuzi mtupu mtakuwa kuni za kuchomea moto jehanamu wanafiki ninyi!
ujue ni rahisi kumkosoa rafiki yako in a friendly manner hata kwa utani na msigombane, sio lazima kuamrishana kama mpo jeshini..
kama hakuna urafiki ndo hivo mnaishi kwa amri amri matokeo yake ni chuki na visasi
kama mkeo ni rafiki yako hata chai akiweka chumvi badala ya sukari unainywa ukimaliza unamwambia tu calmly "switie eeh si umeweka chumvi humu dear but ni tamu kidogo" mnacheka pale but next time hatorudia
sio unaanza makelele ka bendi ya jeshi kitu kidogooo inzi 1000 ...ni nini?unanunua ugomvi wa nini?
wapenzi wengi daily wanagombana kwa vitu ambavyo hata havipo simply tu kwa vile sio marafiki
nakuja kumalizia party tu
sijaolewa @RR alivunja uchumba... Smile, are you married?
Kama bado, 'ukitaka kuujua uhondo wa ngoma, uingie ucheze!'
Kama ushaolewa, 'wagombanao ndio wapatanao!'.... Hata kama hawasalimiani, wana udugu wa shuka hao unaowapatanisha, hata kama ni kwa msaada wa 'kiroba'
kweli mimi napenda mtu wangu anitreat in a friendly manner mengine ni ziada tu
He hee... Kuna rafiki yangu ameoa hivi karibuni, jamani, mkewe vyombo alivyopewa sijui kitchen party, kaviandika majiina...kila kitu alichopewa kama zawadi kwao kaviorodhesha...jameni, mguu nje mguu ndani, yuko tayari kwa lolote...hii hatari sana! na kama ndo hivi, huo urafiki utatoka wapi?! Mungu atusaidie jamani...Kwa hao wanaopendana kishuka style wasubiri maana uaminifu hamna coz hakuna upendo. Wengine waliefuata maisha bora, kazi nzuri, magari na fedha ila hakukuwa na upendo wa kweli. "Shortcut is always a wrong cut ". Na wengine wanapigana!
sijaolewa [EMAIL="b@RRalivunja" RR alivunja[/EMAIL] uchumba
mmmh yaani watu hawasalimiani wanapendana kishuka style? sielewi
mpenzi wako akiwa rafiki yako...mean best friend wako ni raha sana
urafiki ni mzuri kuliko hata mapenzi yenyewe
na hapo law ya friends with benefits inaaply vizuri
na benefits zenyewe ndo mapenzi nk
je wewe mpenzi wako or mchumba wako au mkeo ni rafiki yako
wengine humu hata hawasalimiani na wake/waume zao but ni wanandoa shame on you! tena wengine eti wanalala room tofauti ,upuuzi mtupu mtakuwa kuni za kuchomea moto jehanamu wanafiki ninyi!
ujue ni rahisi kumkosoa rafiki yako in a friendly manner hata kwa utani na msigombane, sio lazima kuamrishana kama mpo jeshini..
kama hakuna urafiki ndo hivo mnaishi kwa amri amri matokeo yake ni chuki na visasi
kama mkeo ni rafiki yako hata chai akiweka chumvi badala ya sukari unainywa ukimaliza unamwambia tu calmly "switie eeh si umeweka chumvi humu dear but ni tamu kidogo" mnacheka pale but next time hatorudia
sio unaanza makelele ka bendi ya jeshi kitu kidogooo inzi 1000 ...ni nini?unanunua ugomvi wa nini?
wapenzi wengi daily wanagombana kwa vitu ambavyo hata havipo simply tu kwa vile sio marafiki
nakuja kumalizia party tu
He hee... Kuna rafiki yangu ameoa hivi karibuni, jamani, mkewe vyombo alivyopewa sijui kitchen party, kaviandika majiina...kila kitu alichopewa kama zawadi kwao kaviorodhesha...jameni, mguu nje mguu ndani, yuko tayari kwa lolote...hii hatari sana! na kama ndo hivi, huo urafiki utatoka wapi?! Mungu atusaidie jamani...
huyo atakuwa na pepo mtu hawezi kukuonya kirafiki arudie kosa bwanaMambo huaanza polepole dada, lakini akina dada wengi si wasikivu na wazigatiaji. Leo chumvi kwenye chai nakuambia ' switie eeh si umeweka chumvi humu dear but ni tamu kidogo", unarudia kesho yake na kesho yake na tena na tena. Hiyo switie inabadilika inakuwa sweat unless otherwise usiwe mwanaume wa ukweli. Huo ndio ukweli.
huyo atakuwa na pepo mtu hawezi kukuonya kirafiki arudie kosa bwana