Kila rais aje na wanawe .........

utege wa hako kadogo basi mimi hoi, sikapatii picha kakikua..!

sasa kaka wewe kipindi hiko utakuwa na umri gani? au ndio kama huyu mwenzako muitali hapa chini..
 
duuu mbona baba riz ajapiga picha na timu yake..
 
hahaaaa JK vipi aweke na yeye ya kwake hapa...kudadadeki kitu kinatoka mapka nje ya focal ya kamera maana mstari ni mrefu sana



yani wewe unaongea ukweli sio utani kabisaaaa,,.....! hawa tunaowaona ni wale official wale wa kuleee nnnnnii wengi kinyama asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…