Utakuwa una zingiziwa tu mkuu , kuwa makini kwa sio wewe mwanaume unaye MwagaWAZUNGU#weupe .... coz kama ndo hivyo dunia nzima hii ingekuwa imefurika kwa nyomi ya kutisha, na TZ tungekuwa na population zaid ya china na India. kama wanaume wote wangekuwa wana uwezo kama wako.