Kila nitakae mpitia lazima apate Mimba

huyo anajishaua tu ni wale wanaume wababe kwenye mahusuano akitaka siku yoyote analazimisha bila kujali tarehe halafu wakipata mimba anawakimbia nakuwatusi
 

inaonekana hujali kabisa afya yako,kila mtu utembee nae bila kinga hadi apate mimba? kweli hufai,na uvae mpira upasuke we kwani una maumbile gani au unageuza kitanda uwanja wa chamazi?na hao wadada wanaokwambia wanapata mimba hata siku zisizo za hatari ni wangapi?na wagumba uliofanikiwa kuwapa mimba ni wangapi? basi wewe ni abnormal!
 

dogo umejipromote dah et ata mgumba? et hata kama hayuko siku hatar! haiwezekan
 
mkuu hebu jaribu kupumuliwa na wewe tuone je utapata mimba!!
 
Jf Academia
 
Mmmh kaziweke benki ya megu utapata mihela mingi. Wamefika wangapi sasa......
 

Ha ha ha hadi wagumba.
 
Sawa. Sasa naomba tuweke rekodi zako sawa kulingana na experience uliyopitia kma maelezo yako yanavyojieleza.
1(a)Ulishawapa mimba wanawake wangapi?
(b)Una watoto wangapi mpka saivi?
 
Hongera ww nidume languvu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Kwa hiyo waona uzinzi ni jambo la kujisifia ee. Mapenzi sio uchafu na uasherati wa kiwango hiki. Uje kujisifu hapa na siku ukiukwaa.
 
Utakuwa una zingiziwa tu mkuu , kuwa makini kwa sio wewe mwanaume unaye Mwaga WAZUNGU #weupe .... coz kama ndo hivyo dunia nzima hii ingekuwa imefurika kwa nyomi ya kutisha, na TZ tungekuwa na population zaid ya china na India. kama wanaume wote wangekuwa wana uwezo kama wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…