Eti hata wagumba?!!acha kujipa promo....
Una Miaka mingapi?Wandugu nahisi ninatatizo kwasababu kila msichana nitakae fanyanae mapenzi lazima apate mimba yani hata kama anajulikana ni mgumba. Nikitumia kinga na ikatokea imetoboka bahati mbaya ujue ni mimba. Hii inatokea hata kama msichana hayupo danger days sasa najiuliza hii inatokana na nini?