Kila ninayemtongoza ana mtu

Kupata msichana chuo ukiwa mwanafunzi kuna mawili:
1. Uwe na hela, na
2. Uwe kipanga siyo kilaza...ezeka vibanda vya kutosha na GPA za kiume kila semester utapata yule unayemtaka, hata mtoto wa Vice Chancellor utakula!
kwahiyo ukiwa na swag huwezi pata!
 
ushauri mzuri ila ni risk
 
Unaboom??
Kjm.usiwe na tabia ya kuuliza una mtu??

Mabint waleo hawatongozwi nilugha za ishara unajua huyu tayar

Upo chuo gan??
Usijetoka tatu bila,kuna watu wanamaliza hawajawai pasua dem
Nina boom,nina geto,na huwa sianzi na gia kama una mtu
 
Ni vigumu kumtongoza mdada akakubali direct huwa wanakubali indirect way
 
Unaboom??
Kjm.usiwe na tabia ya kuuliza una mtu??

Mabint waleo hawatongozwi nilugha za ishara unajua huyu tayar

Upo chuo gan??
Usijetoka tatu bila,kuna watu wanamaliza hawajawai pasua dem
npo chuo cha taifa Mlimani mkuu
 
hayo yote nayafanya mkuu
 
good advice ila lazima niwe na mtu wa kunijenga kiushauri na mengineyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…