Kila ninayemtongoza ana mtu

Usimtishe mkuu..
Mwaka wa kwanza ndio mwaka wa kujifunza maisha ya chuo
Muache kwanza afanye anayoyatamani hizo Supplementaries, Carry-Overs zitambadilisha hukohuko mbele kwa mbele..
mwambie mkuu
 
mimi najichanganya nao sana na marafiki zangu wengi wasichana
 
Vaa vizuri ,paka mafuta, jipulizie unukie ,ongea kama mwanaume unaejitambua acha kuwatizama sana wadada, utapata mrembo mzuri utafurahi na roho yako.sawa mwanachuo?
vyote nafanya mkuu
 
yani una hela alaf unahangaika kutongoza...acha wehu....mbona watoto kibao wanauza papuch....au shida yako kutongoza...?kama shida yako papuchi ibuka pande zile ukanunue URODA
me sitaki Malaya mkuu
 
Soma ulimaliza shule hao wote wanaokukataa na wengne wote watakuwa wako, muhim uwe na pesa
 
Dogo soma kwanza... acha hayo mambo ukiwa chuo. Uta disco man.
Ww soma kwanza.. tafuta kazi... pata mkwanja wa maana... mbona watajileta wenyewe... utawala mpaka na mayai yao...
kusoma nasoma na najitambua sana
 
Mkuu akija kwa njia ya mkwanja usijali mpokee kwa tahadhari ila akikupa piga shoo yakiutuuzima utakuta siku nyingine kakija wakati wa kuondoka unapewa bye bye ... Haombi hata nauli[emoji12]
sawa mkuu ila lazima akubali kwanza
 
taken
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…