Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,232
Kila nikimtokea kila demu na kumwelezea shida zangu haamini kama nampenda kweli,unakuta kila nikimtongoza msichana mzuri jibu ninayopewa eti siwezi nikadumu naye mana lazima wasichana wengine watajipendekeza kwangu na nitamwacha.kila ninayemfuata anahisi namdanganya wakati nipo serious,sijui nifanyaje??