Kila nikitongoza mademu hawaniamini.

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Kila nikimtokea kila demu na kumwelezea shida zangu haamini kama nampenda kweli,unakuta kila nikimtongoza msichana mzuri jibu ninayopewa eti siwezi nikadumu naye mana lazima wasichana wengine watajipendekeza kwangu na nitamwacha.kila ninayemfuata anahisi namdanganya wakati nipo serious,sijui nifanyaje??
 
Ilo tatizo siyo dogo, ila kuwa na subira huja pata anaye kupenda, mapenzi hayajaribiwi kwa mtu yoyote yako selective,kingine hacha kutongoza kimzaa,jenga urafiki kwanza kabla ujamtongoza kabisa.Usipende kumpa mustakabari wa mahusihano jaribu kumnasa saikolojia kwanza.
 
hahahahaha lol Jinsi ulivyoandika
ni kama unataka kusema we ni mzuri saaanaa
hadi wasichana wanaogopa utawaacha mmmhhh
haya bwana..

kwanza umesha kosea kumita "DEMU"
msichana unayempenda na uko serious naye ..
Pili labda njia yako ya kutongoza ni ya maringo
au hujui kutongoza kama kila msichana nakukataa..
 
Kila nikimtokea kila demu na kumwelezea shida zangu haamini kama nampenda kweli,unakuta kila nikimtongoza msichana mzuri jibu ninayopewa eti siwezi nikadumu naye mana lazima wasichana wengine watajipendekeza kwangu na nitamwacha.kila ninayemfuata anahisi namdanganya wakati nipo serious,sijui nifanyaje??

Mhm................ "inneresting"! Who knew kwamba kuna some downside for one being so irrisistable:frown:?
 
Kila nikimtokea kila demu na kumwelezea shida zangu haamini kama nampenda kweli,unakuta kila nikimtongoza msichana mzuri jibu ninayopewa eti siwezi nikadumu naye mana lazima wasichana wengine watajipendekeza kwangu na nitamwacha.kila ninayemfuata anahisi namdanganya wakati nipo serious,sijui nifanyaje??

ndugu yangu unawatongoza au unawaeleza shida zako?
 
zis country bwana iz very puwa. Fikra sahihi huja kwa lugha sahihi.
Je unatumia body language ipi ndugu Nshomile?
 
Kila nikimtokea kila demu na kumwelezea shida zangu haamini kama nampenda kweli,unakuta kila nikimtongoza msichana mzuri jibu ninayopewa eti siwezi nikadumu naye mana lazima wasichana wengine watajipendekeza kwangu na nitamwacha.kila ninayemfuata anahisi namdanganya wakati nipo serious,sijui nifanyaje??

Katika zama hizi za teknohama,
bado unawatongoza kisha wanakutolea nje,
mmmh, lazima utakuwa na tatizo wewe,
mbona mambo yamerahisishwa sana siku hizi!!!!!!
 
sina uhakika kwa hayo unayosema,maana yalikuwa mambo ya kizamani sana sikuhizi msichana hamkatai mtu bw hatakama ni mlemavu,ninacho hisi hapa ni kwamba wewe unajisifia wewe ni mzuri!
 
mmh! Inamaana mabinti wanaacount za kuhifadhi kila awatakae?.
 
Kila nikimtokea kila demu na kumwelezea shida zangu haamini kama nampenda kweli,unakuta kila nikimtongoza msichana mzuri jibu ninayopewa eti siwezi nikadumu naye mana lazima wasichana wengine watajipendekeza kwangu na nitamwacha.kila ninayemfuata anahisi namdanganya wakati nipo serious,sijui nifanyaje??

Jifunze kuuza swaga. Ikishindikana chuna hako kangozi kazama alafu katongoze mtaa wa jirani. Mfalme hathaminiki nyumbani.
 
ndugu zangu mi sio najisifia kuwa ni mzuri,ninachohofia ni kwamba labda sura yangu imekaa kijanja kiasi kwamba ninapongoza naonekana kama nadanganya wakati nipo serious.
Mzee mwanakijiji mi sielezi matatizo yangu,naeleza direct nini hasa madhumuni yangu ninapotongoza
 
Ukiwa unamtongoza epuka maneno mengi yasiyo na tija, wanawake hatupendi wanaume wanaoongea sana, na kujisifia pasipo na tija. just be smart of what ur saying on the process, na epuka uongo, mwanamke wa sasa sio wale wa miaka ile hata wakidanganywa hawaelewi
 
Fanya evaluation ya namna unavyotongoza na hao waliokukataa utajifunza jambo.....utagundua unakosea wapi nina hakika...!!

Angalia pia unatongoza nani,aweza kuwa na jinsia ya kike lakini wewe si type yake.....siku hizi wasichana wanaangalia zaidi ya hisia zao za kimwili ndugu yangu......ila kama ulivyoshauriwa hapo juu, ni vizuri kabla ya kujieleza sana ukatengeneza urafiki na mtu,ukamfahamu vizuri na baadaye waweza mwambia malengo yako.....usimpe pressure wala usionyeshe uko desperate,wanawake kama mlivyo wanaume hampendi....
 
Ahaa ahaa first lady wangu nimecheka sana yaani afanye EVALUATION ya tongozo zake
 
Mwanamme mjanja hatongozi,, anaimpress tu halaf mengine yanajimaliza yenyewe, acha pupa kijana. Soma saikolojia ya mwanamke ni wa aina gani kisha cheza na saikolojia yake, utajikuta unaondoka hata na mke wa mheshimiwa kiulaini kabisa bila hata kutoka jasho.
 
Kila nikimtokea kila demu na kumwelezea shida zangu haamini kama nampenda kweli,unakuta kila nikimtongoza msichana mzuri jibu ninayopewa eti siwezi nikadumu naye mana lazima wasichana wengine watajipendekeza kwangu na nitamwacha.kila ninayemfuata anahisi namdanganya wakati nipo serious,sijui nifanyaje??

yawezekana unapotongoza you are too talkative, labda unariport mambo yako mathalani, nilikuwa na x nikamwacha coz of this n that, then
nikawa na y naye nikamwacha, baadaye nikawa na z naye ckudumu naye hivo naku.... wewe. kama formula yako ndo hii basi jua unajifungia
milango wewe mwenyewe, kama mchimba kisima. kumbuka kuwa females wakati wanatongozwa wanakuwa na akili kukuzidi, olwayz wewe
unakuwa ni runner.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom