[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi wanaume wa hivyo kumbe bado mpo
Hii kitu zingatia sanaa maana inamaana.... Then jitahidi ata uwe unapendeza pendeza nini....yaani uwe smalt utavutia tuLabda unamkera au unamboa mnapokuwa pamoja.
Make her miss you, kuwa creative , mfanyie vitu vinavyomfurahisha... Mpeleke mahali pazuri, zawadi zawadi, maneno mazuri,.....
Mfanye yeye akumiss....!
Yeah....!Hii kitu zingatia sanaa maana inamaana.... Then jitahidi ata uwe unapendeza pendeza nini....yaani uwe smalt utavutia tu