the supporter
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 834
- 1,103
Hiyo ni ishara tosha kuwa hana mapenz na wewe kwenye mapenzi ya kweli hata MTU awe busy kiasi gani ataweka kando hata dakika tano kumjulia hali ampendae so ukiona hivyo juwa huyo sio wako
Kama wew unampenda sana, na unaamini hutakuja kumuacha... kamloge, kama hutoweza njoo nikuonyeshe. nikazi ndogo2
Hahahhhh we ni mganga?au ww kama mshana jrKama wew unampenda sana, na unaamini hutakuja kumuacha... kamloge, kama hutoweza njoo nikuonyeshe. nikazi ndogo2

wew ndio huyo kwenye pic. nitumia jinalako lakuzaliwa, alafu unipe siku3Hahahhhh we ni mganga?au ww kama mshana jr![]()
Wewe unifanyaje nimeuliza tu nijue labda nataka tibawew ndio huyo kwenye pic. nitumia jinalako lakuzaliwa, alafu unipe siku3
Habari zenu wakuu,
Poleni na majukumu ya kutwa nzima,
Na samahani kwa kuwachosha na thread yangu.
Nina girlfiriend wangu, tuna miezi kadhaa sasa tangu tulipoingia katika mahusiano. Shida ni kuwa hana muda wa kuonana nami kwa kisingizio kuwa yupo bize na pia anasema ni vizuri tukae muda mwingi bila kuonana kwa sababu kila mmoja atakuwa na hamu ya mwenzie hususan pale tutapoonana.
Ni wiki tatu hadi mwezi sasa hatujaonana na tunaishi mji mmoja pia muda anaotoka kazini ni sambamba na ule wa kwangu. Sijajua ni kweli asemayo au ni ulaghai tu ukizingatia ninampenda.
Naomba ushauri!
yaan unafanana na huyu jamaa.si unakumbuka enz ya primary school ukiwa wa mwisho unacholewa namna hiiHamna usiogope.... iyo ninjia yakujuana vizuri!!Wewe unifanyaje nimeuliza tu nijue labda nataka tiba