Kila nikisoma baada ya masaa 24 nasahau

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,742
Reaction score
25,678
Habari zenu,
Jaman tatizo langu ni kwamba kila nikijisomea madaftari baada ya masaa 24 nasahau nilichokisoma lakin ikifika siku ya mtihani kumbukumbu zinarudi.


Je hili tatizo linasababishwa na nini?
Je nifanyaje ili niwe nakumbuka kila mara nilichojisomea.

Asanten
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…