Kila nikisikia stori za Mungu nahisi kichefuchefu

Kila nikisikia stori za Mungu nahisi kichefuchefu

MUNGU NI NANI?

“Mungu ni nini?” ni la kina sana, na jibu lake linategemea mtazamo wa kiroho, kidini, kifalsafa, au hata kisayansi. Hapa nitakuletea mitazamo tofauti ili uweze kuelewa kwa mapana:

---

1. Mtazamo wa Kiroho wa Jumla:

Mungu ni Chanzo cha Uzima na Nguvu ya Milele inayopita akili ya kawaida. Si lazima awe na umbo la kibinadamu, bali ni Nuru, Upendo, Hekima, Uwepo wa Kila Mahali (Omnipresent), Ujuzi wa Kila Kitu (Omniscient), na Nguvu Isiyo na Kikomo (Omnipotent).

---

2. Mtazamo wa Dini Tofauti:

Ukristo: Mungu ni Baba, Muumba wa mbingu na nchi. Ni wa upendo na rehema, lakini pia mwenye haki. Anaonekana kupitia Yesu Kristo, ambaye ni Mwana wa Mungu.

Uislamu: Mungu huitwa Allah, ni Mmoja, hana mshirika, hakuumbwa, wala hakuzaa. Ni mwenye rehema, mwenye huruma, na anayejua yote.

Uyahudi: Mungu ni Yahweh – Mmoja, mtakatifu, na aliyejifunua kwa Musa. Ana uhusiano wa kipekee na taifa la Israeli.

Uhindu: Mungu anaweza kuwa mmoja au wengi. Kuna Brahman (Uwepo Mkuu usioelezeka), na miungu kama Vishnu, Shiva, na Lakshmi ambao huwakilisha sifa tofauti za Uungu.

Ubuddha: Haumuelezi Mungu kwa namna ya kibinafsi. Badala yake, huzingatia hali ya kiroho, mwangaza wa ndani (Nirvana), na sheria za asili (Dharma).

Dini za Asili za Kiafrika: Mungu anaonekana kama Muumba Mkuu (Mungu Mkuu), anayefikiwa kupitia mizimu na nguvu za asili. Majina hutofautiana: Nyasaye, Mulungu, Katonda, Olodumare, nk.

---

3. Mtazamo wa Kifalsafa:

Theism: Mungu ni kiumbe hai, mwenye akili, anayehusika na uumbaji.

Deism: Mungu aliumba dunia lakini haingilii tena katika mambo ya kila siku.

Pantheism: Mungu ni kila kitu – ni ulimwengu wote.

Panentheism: Ulimwengu uko ndani ya Mungu, lakini Mungu ni zaidi ya ulimwengu.

---

4. Mtazamo wa Kisayansi/Kisasa wa Kiroho:

Wengine husema Mungu ni Uelewa wa Juu au Mtandao wa Akili wa Ulimwengu (Cosmic Intelligence). Yupo kama mfumo wa nguvu, au kanuni za uhai, au Uwepo wa Kimya wenye uhai (The Presence).

---

5. Mtazamo wa Ndani (Kiroho binafsi):

Mungu anaweza kueleweka kama nguvu iliyo ndani yako, moyo wa upendo, sauti ya dhamira, mwanga unaokuongoza, au hali ya utulivu na amani ya kiroho unayoipata unapokuwa karibu na chanzo cha uhai.

---

Mungu ni Uwepo wa Milele, Chanzo cha Uhai, Upendo wa Kweli, Nguvu ya Kiungu inayotawala yote, na anayejitambulisha kwa kila mtu kwa njia tofauti.

---
 
We ndo unatia kichefuchefu...

A person with only 80years maybe 100yrs to live, decided to make yourself your own god. You think you're so smart all knowing, you think you're so powerful. You think you know it all. The god himself! !

Look at you! Shame on you!

May the veil be lifted before your eyes.

Acknowledge that there is someone way greater than you, totally unmatched in greatness. Your wisdom is foolishness to him. Ask him for wisdom.

Embu jione vile unatia huruma in the grand scheme of things. Look at you! ! ! What are you in this universe that you point your finger to the Lord. You shameless speck of dust!
 
Mungu gani anaruhusu watu wauane, Mungu gani anaruhusu watu wazaliwe kwa magonjwa ( sickle cell, cancer, n.k).

Kama kweli huyo Mungu yupo na anaacha watu wateseke basi ni katili na anafaa kupingwa.

Mungu gani anaruhusu watu wauane, Mungu gani anaruhusu watu wazaliwe kwa magonjwa ( sickle cell, cancer, n.k).

Kama kweli huyo Mungu yupo na anaacha watu wateseke basi ni katili na anafaa kupingwa.
Dalili ya Mapepo/ Majini
 
Mungu gani anaruhusu watu wauane, Mungu gani anaruhusu watu wazaliwe kwa magonjwa ( sickle cell, cancer, n.k).

Kama kweli huyo Mungu yupo na anaacha watu wateseke basi ni katili na anafaa kupingwa.
Unataka sisi tukusaidiaje? Au tukupe ndimu uepuke kichefuchefu

Binadamu mnachekesha sana. Mungu kawapa akili mnashindwa kuzitumia, mnauana halafu mnaanza kumlaumu.
 
Mungu, Asili,chanzo, nature,jadi nk whatever vyote umaanisha maana moja.
Stori za Mungu ni za kitoto.

Watu wanabakwa, watu wanauliwa kikatili, watoto wadogo wanalia kwa maumivu ya magonjwa, lakini eti hicho kiumbe kimetulia tu.

Kama kweli hicho kiumbe kipo basi ni kikatili sana, na popote alipo aache ujinga.
 
Mungu gani anaruhusu watu wauane, Mungu gani anaruhusu watu wazaliwe kwa magonjwa ( sickle cell, cancer, n.k).

Kama kweli huyo Mungu yupo na anaacha watu wateseke basi ni katili na anafaa kupingwa.
Ni binadamu tu ana magonjwa? Kuku, ng'ombe, mbuzi wana magonjwa pia. Nadhani binadamu kuna kauspecial tunajipa uzuri chochote kilichosababisha kila kitu kikawepo don care huo uspecial tunaoutaka. Unaumwa, tunakufa kama kuku na ng'ombe tu.
 
Unataka sisi tukusaidiaje? Au tukupe ndimu uepuke kichefuchefu

Binadamu mnachekesha sana. Mungu kawapa akili mnashindwa kuzitumia, mnauana halafu mnaanza kumlaumu.
Ushwahi kuona wagonjwa wa Cancer na sickle cell wanavyoteseka? Je, hawahitaji furaha kama wengine?

Kama kweli hicho kiumbe kipo basi hakina akili.
 
Ni binadamu tu ana magonjwa? Kuku, ng'ombe, mbuzi wana magonjwa pia. Nadhani binadamu kuna kauspecial tunajipa uzuri chochote kilichosababisha kila kitu kikawepo don care huo uspecial tunaoutaka. Unaumwa, tunakufa kama kuku na ng'ombe tu.
KAma hujawahi kuona watu wanavyoteseka kwa magonjwa una haki ya kuongea hayo, subiri yaje yakukute.
 
Mungu gani anaruhusu watu wauane, Mungu gani anaruhusu watu wazaliwe kwa magonjwa ( sickle cell, cancer, n.k).

Kama kweli huyo Mungu yupo na anaacha watu wateseke basi ni katili na anafaa kupingwa.
ye mwenyewe anashangaa...😂
 
Back
Top Bottom