Kila nikipika naungua

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,789
Reaction score
8,753
Heshima kwenu mabibi Na mabwana popote mlipo, ni iman yangu kuwa mko bomba kabisa,

Km kichwa cha habari kinavyosomeka mwenzenu napata tabu sana kwakweli, mikono yangu iko Na alama alama hadi naboreka, nifanye nn ama nitumie njia gani pindi ninajipikia nisiungue, imefikia wakati hadi naogopa kujipikia sasa nimekuwa MTU wa mama lishe.

Ushauri wako ni wamuhimu uwe mzuri hata mbaya pia, asante
 
sasa usaidiwe nini hapa mkuu?
 
Mwanaume unakaangiza kama mama ntilie wa kitanga utaungua tu...pika ugali na tembele huwezi ungua
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Uji wa ugali wakati unachemka huwa unaruka unauguza sana,
 
Kama unatumia stove au jiko la mkaa utaungua kila siku!Upgrade uanze pikia majiko ya ukweli hautaungua
 
Eli79 hiyo Picha ya kwanza ndo Inashikwaje nipe maelezo kidogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…