Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,556
- 7,386
Ndio maana mpaka leo niko single japo sijui nimechukua mchepuo gani kupenda kupitiliza au mazingira yangu haya vutii kumtuliza kimwana
Nimesoma mara tano sijaelewa
Nipe codes please [emoji6]
Mmmmmmmmmmmhhhhhhhhuhh hahahahahahahah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hahaha unataka uelewe nini mamiii?
Hayo majanga....ni yepi?
Muwe mnaangalia na watu mnaowapendaWazee baba na wazee mama mambo vipi..
Sijui hata niliweke vipi hili janga lakini mimi kila nikipenda ni majanga mazee,
Shida sijajua ni nini kati ya wivu au gubu lakini upendo kwangu ni mtihani mkubwa mnoo...
Uzi tayari
Yakawaida tu bby...wahi nyumbani nitakuambia
Nipo njian nakujaaa...niandalie...[emoji215]
Sawa KipenziNakusubiriii
Sawa Kipenzi
[emoji8][emoji8]
Acha pombe mkuu, na uyakabidhi maisha yako kwa Yesu, na umtambue yeye ndiye bwana na mwokozi wetu
Ndio nanii?
Kibwagizo chako cha "Uzi tayari" kimepoteza uzito wa uzi wenyewe. Kuwa makini katika kuchagua maneno ya kutumia jambo zito kama ulivyoliainsha kwenye kichwa cha uzi wenyewe.Wazee baba na wazee mama mambo vipi..
Sijui hata niliweke vipi hili janga lakini mimi kila nikipenda ni majanga mazee,
Shida sijajua ni nini kati ya wivu au gubu lakini upendo kwangu ni mtihani mkubwa mnoo...
Uzi tayari