Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
- Thread starter
- #21
Nitalifanyia kazi kama nikifall tena kwingine, mmmh ila sidhani
Punguza gubu. Hiyo ndio itakuwa tatizo.
Punguza gubu. Hiyo ndio itakuwa tatizo.
Tatizo ni timu unayoshabikia
Mbona kuna mtu alikufungukia humu anakuzimia ina maana mmeshazinguana tayar
mzee sio wewkuna dada mmoja hapa alikuja na matmbo kweli ya kukusifia mpaka watu wakawa wanawatakia maisha mema???
HahahahaTupo wengi
Huu uzi nimeshangaa kuukuta asubuhi sijui hata niliandika saa ngap[emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye huu Uzi kuna kitu najifunza hapa
Mie nahisi jamaa anazingua au ni MTEGO kwa MTU , watu wana mbinu za ki medanimzee sio wewkuna dada mmoja hapa alikuja na matmbo kweli ya kukusifia mpaka watu wakawa wanawatakia maisha mema???
Mie mkuu humu najifunza tu na kufurahi basiNijulishe tujifunze mkuuHuu uzi nimeshangaa kuukuta asubuhi sijui hata niliandika saa ngap[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo ni wewe jichunguze unakosea wapi.
Given that
"kila nikipenda mimi ni majanga"
Id:hazard cfc
Solution
.... Mimi ni majanga=mimi ni (majanga)
But
Hazard =janga
Mimi ni hazard= mimi ni majanga
Or
Kila nikipenda mimi ni hazard =kilanikipenda mimi ni majanga
Hence proved.
*Badilisha jina mkuu
Vizuri unatambua,ushauri wangu kabla hujaingia kwenye mahusino mapya ni vizuri kumuelezea huyo unayetaka kuwa nae kwamba una tabia fulani ama unapendelea hiki ili iwe rahisi kwake kuchagua kama anaweza kuvumilia au kurekebisha.Mimi napokosea nishapajua...napenda sana hilo ndio tatizo
Vizuri unatambua,ushauri wangu kabla hujaingia kwenye mahusino mapya ni vizuri kumuelezea huyo unayetaka kuwa nae kwamba una tabia fulani ama unapendelea hiki ili iwe rahisi kwake kuchagua kama anaweza kuvumilia au kurekebisha.
What's wrong babe?
Hakuna tatizo bebee....ni uzi tu[emoji23][emoji23]
Hakuna tatizo bebee....ni uzi tu[emoji23][emoji23]