Kila nikilala naye anataka hela

Kila nikilala naye anataka hela

Acha ubwege bana huyo atakua ni kahaba angalia na mazingira uliyompatia
 
Jambo la kawaida sana we hudumia ukishindwa niambie nikusaidie.
 
Nina mpenzi Wangu ambaye kwa muda niliokaa nae naweza kusema amekuwa girlfriend.Tatizo ni kwamba kila nikifanya naye mapenzi lazima adai hela.sasa najiuliza huyu ni gf au changudoa.kila bao nilipie jamani.
Khaa!! Dogo usijali hata waliooa wanalipia tena gharama kubwa kuliko unazolipia wewe. Ila siyo direct saana tena unalipa hata bila kupiga bao wakati mwingine. Ni asili tu ya kibinadamu toka Enzi na Enzi. Kuwa ujifunze :glasses-nerdy:
 
Tatizo lenu wengi waongo mnajifanya mnapita tu,na wao wanaona bora wachukue pesa tu mana hakuna namna nyingine mpaka kieleweke
 
Hahahaaaaaaaa!! Jombaaa piga kazi kiwango cha lami uone we ndo utahongwa sio we umuhonge.
 
Hah.. Yan kila bao ulipie..hayo co mapenz ya kweli anakuuzia huyo..hafai achana nae..hata kama kuchuna buz co kiivyo huyo akuchuni ila anakukatakata...
 
Nina mpenzi Wangu ambaye kwa muda niliokaa nae naweza kusema amekuwa girlfriend.Tatizo ni kwamba kila nikifanya naye mapenzi lazima adai hela.sasa najiuliza huyu ni gf au changudoa.kila bao nilipie jamani.
huna demu hapo acha ufala

Huyo anakuza mbunye, kama huwezi kuilipia acha wengine wale

Huyo dada kafungua mobile shop, so acha kula bure bidhaa ziko sokoni hizo
 
Huyo dada boyfriend wake inafaa awe either a BANK or an ATM
 
Back
Top Bottom