dickdickinyo
Senior Member
- May 19, 2015
- 118
- 53
- Thread starter
- #21
na unamto.mb.aga mara ngapi kwa mwezi?
Mara tano au sita kwani kanihaidi atanizalia mtoto
na unamto.mb.aga mara ngapi kwa mwezi?
Tu ina maana ndogo au?k#%@+--****** bora Nipige puchu kwa style hii
Mnamakubaliano gani juu ya mustakabali wa mapenzi yenu?kama hamna mipango au malengo mbele ya safari mpo kwa ajili ya kutimiza hisia zenu endelea kuvumilia,lkn kama mna mpango wa kuja kuoana basi hapo huna mpenzi,badili maamuz haraka iwezekanavyoNina mpenzi Wangu ambaye kwa muda niliokaa nae naweza kusema amekuwa girlfriend.Tatizo ni kwamba kila nikifanya naye mapenzi lazima adai hela.sasa najiuliza huyu ni gf au changudoa.kila bao nilipie jamani.
Mara tano au sita kwani kanihaidi atanizalia mtoto
Nina mpenzi Wangu ambaye kwa muda niliokaa nae naweza kusema amekuwa girlfriend.Tatizo ni kwamba kila nikifanya naye mapenzi lazima adai hela.sasa najiuliza huyu ni gf au changudoa.kila bao nilipie jamani.
Ukipiga mara 4 kwa mwezi,mara 1 ina bao 4,kila bao ni 10,000 kwa mwezi ni 160,000. Bado zile sleep over za kati kati ya wiki. Kwa hiyo kwa mwezi unaeza jikuta unalipia 200 na ushee..
Nakushauri uoe tu Mkuu.
Endelea kununua tu mkuu
Jana kaniambia vipi nije.nikamwambia Sina hela akakata simu
Itakuwa wewe ni bahili sana na hujiongezi kwa kutoa huduma ndiyo maana na yeye kamua kuanzisha huo mkakati. Nipe nikupe.
Ivi kwanin utake sex badala ya kukazania upate jiko ndani? Safi sana kwa huyo dada lazima afanye ivo il upate uchungu wa pesa na uoe mapema kulko kubakia unazini ovyo.
Anapima mzigo
Anapima mzigo