Kila nikilala naye anataka hela

Kila nikilala naye anataka hela

Nina mpenzi Wangu ambaye kwa muda niliokaa nae naweza kusema amekuwa girlfriend.Tatizo ni kwamba kila nikifanya naye mapenzi lazima adai hela.sasa najiuliza huyu ni gf au changudoa.kila bao nilipie jamani.

Akili kichwani mkuu
 
Maana yake anauza mkuu na si kwako tu kwa yeyote anayepewa huduma. In short yupo kibiashara
 
Haa haa haa haaa leoooo nmecheka saaana the gunners nao wameniongezeaaaa furahaaaa
 
hizo ni gharama za uendeshaji na ukarabat wa mtambo....vipuri vpo juu sana mkuu lipia 2
 
Nina mpenzi Wangu ambaye kwa muda niliokaa nae naweza kusema amekuwa girlfriend.Tatizo ni kwamba kila nikifanya naye mapenzi lazima adai hela.sasa najiuliza huyu ni gf au changudoa.kila bao nilipie jamani.

Lipa tu..
 
Huyo hana kosa. Kuna uwezekano wewe umeuchukulia huo uhusiano kama wa mtu na girlfriend wakati yeye anauchukulia kama wa kibiashara na si wa mapenzi. Acha kumfanya kama mpenzi, mfanye kama mtu uliewahi kufanya nae ngono tu na si mapenzi, Ukipata mpenzi mwingine uwe huru kuendelea nae na usilifiche hilo. Msipende kulazimisha uhusiano na wasioutaka.
 
Mmi jana ninyimwa hivihivi jamani.mtoto nina mwaka nae sijawai kumgonga,na anadai yeye ni bikira.sasa jana kakubali kwakua nimemfanyia mengi sana.cha ajabu alipoona sms kwenye whatsapp akakataa.roho inaniuma sana
 
are you serious nmecheka sana huyo ndo mwanamke looh akupe bureee umemuoa? mme mwenyewe siku hajaacha hela ya matumizi akigusa kiuno anaambulia kipepsi sembuse gf
mwaj wa ukweli umetisha, ila mimi niliwahi mapema nikamfungulia biashara na hela anabeba yeye mie naendelea na mishemishe zangu. Usiku ni mwendo wa kupapasa kiuno hakuna maswali ya hela ya mboga.
 
Back
Top Bottom