Kila nikilala na demu kesho yake lazima nipate hela au deal la hela. Nani mwingine inamtokea hii?

Lukaku Tanzania

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
843
742
Hii umekuwa mara kadhaa/mara kwa mara nikilala na demu yeyote mpya mara ya kwanza ama ya pili lazima kesho yake nipate hela au deal la hela.

Siku ya kufunga mwaka kama kawaida yetu kuwapanga kwenye foleni. Kuna demu alipangika na siku hyo nilkuwa naelekea home mkoani kwenda kuzindua mwaka na ndugu zangu ikabidi nimpange demu mmoja wa njiani ili nikifika mahali pale tuonane kweli akaja nikafika pale majira ya saa 12 jioni akasema baadae atakuja nikamuelekeza nipo hoteli gani akafika na kilichokusudiwa kikafanyika.

Nikamwambia my niendelee na safari usiku huu? Akauliza. Nikajibu ndio.

Utapata usafiri gani muda huu maana saa tatu kasoro muda huu? Nikifika stendi magari ya masafa marefu ndio yanaingia Basi akasema haya mimi narudi home geti kali wakiamka tuamke wote, nikamwambia poa.

Safari ikaanza ile nafika stendi tu gari hilo njiapanda safari ikaendelea. Baada ya muda nikapata sms M-Pesa, imedhibitishwa kiasi Cha 50,000/= imetumwa kwangu na mimi muda ule sikuwa na mtu ninayemdai ikabidi niiweke M-Pawa papo hapo.

Baadae kidogo kama dakika 5 hvi jamaa akapiga akisema amekosea kutuma hela, nikamuuliza kiasi gani akasema 50,000.

Akasema "Ndugu hiyo hela nilkuwa namtumia mama yupo Dar anakwenda Mbeya yaani anarud kutoka matibabuni ninakuomba kama unaweza kunisaidia kunirudishia".

Akaendelea "Kama hutojali kata Tsh 15000 then nirudishie japo 35000 nikaona sio kesi nkamtumia 35000.

Hii Hali ya kupata hela umekuwa inaendelea sana.

 
Hio gharama ya kumpata dem mpya mbona uzidi Pesa apatyo
 
Hili swala la demu kusema anawahi nyumbani kwao, sijui eti kwao ni geti kali.
Muangalie sana demu wa hivyo,
Usishangae kukuta ni wale wanaosimama pale kimboka!
True anawahi kuvuta kwengine
 
Kama ushagundua hilo ya nn kuhangaika na maisha?
Kula dem mpya kwako kila siku
Asa huwa simaindigi madem Ila Basi tu napenda businesses,sema demu akijua ww businessman anahakiksha umekuwa karbu nae japo akupe tunda Mara moja akjua utamtafta tu Tena ukilihitaji...
 
Mkuu mpaka uconclude inabidi uwe na mifano mingi. Hapa umetoa mmoja tu!!
 
Hili swala la demu kusema anawahi nyumbani kwao, sijui eti kwao ni geti kali.
Muangalie sana demu wa hivyo,
Usishangae kukuta ni wale wanaosimama pale kimboka!
Dogo umenivunja mbavu zangu
 
Hyo hela sijamwibia mtu Ila alikosea kutuma na akasema ili awe makini nkate elfu kumi na tano.
Mbona mm nshawahi kukosea hela Mara kibao tu na njemba ikawa haipokei simu kabsa ?
Kukosea ni kujifunza aiseeee
 

Attachments

  • Screenshot_20200120-165150.png
    35.1 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…