Kila nikilala na demu kesho yake lazima nipate hela au deal la hela. Nani mwingine inamtokea hii?

Lukaku Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
843
Points
1,000

Lukaku Tanzania

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
843 1,000
Hii umekuwa mara kadhaa/mara kwa mara nikilala na demu yeyote mpya mara ya kwanza ama ya pili lazima kesho yake nipate hela au deal la hela.

Siku ya kufunga mwaka kama kawaida yetu kuwapanga kwenye foleni. Kuna demu alipangika na siku hyo nilkuwa naelekea home mkoani kwenda kuzindua mwaka na ndugu zangu ikabidi nimpange demu mmoja wa njiani ili nikifika mahali pale tuonane kweli akaja nikafika pale majira ya saa 12 jioni akasema baadae atakuja nikamuelekeza nipo hoteli gani akafika na kilichokusudiwa kikafanyika.

Nikamwambia my niendelee na safari usiku huu? Akauliza. Nikajibu ndio.

Utapata usafiri gani muda huu maana saa tatu kasoro muda huu? Nikifika stendi magari ya masafa marefu ndio yanaingia Basi akasema haya mimi narudi home geti kali wakiamka tuamke wote, nikamwambia poa.

Safari ikaanza ile nafika stendi tu gari hilo njiapanda safari ikaendelea. Baada ya muda nikapata sms M-Pesa, imedhibitishwa kiasi Cha 50,000/= imetumwa kwangu na mimi muda ule sikuwa na mtu ninayemdai ikabidi niiweke M-Pawa papo hapo.

Baadae kidogo kama dakika 5 hvi jamaa akapiga akisema amekosea kutuma hela, nikamuuliza kiasi gani akasema 50,000.

Akasema "Ndugu hiyo hela nilkuwa namtumia mama yupo Dar anakwenda Mbeya yaani anarud kutoka matibabuni ninakuomba kama unaweza kunisaidia kunirudishia".

Akaendelea "Kama hutojali kata Tsh 15000 then nirudishie japo 35000 nikaona sio kesi nkamtumia 35000.

Hii Hali ya kupata hela umekuwa inaendelea sana.

Screenshot_20200120-150334.png
Screenshot_20200120-150334.png
 
Bana likasi

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2020
Messages
1,223
Points
2,000

Bana likasi

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2020
1,223 2,000
Hii umekuwa Mara kadhaa/Mara kwa. Mara nikilala na demu yeyote mpya Mara ya kwanza ama ya pili lazma kesho yake nipate hela au deal la hela

Siku ya kufunga mwaka Kama kawaida yetu kuwapanga kwny foleni,Kuna demu alpangika na siku hyo nilkuwa naelekea home mkoani kwenda kuzindua mwaka na ndg zangu ikabidi nimpange demu mmoja wa njiani ili nkifika mahali pale tuonane kweli akajaa nkafika pale majira ya saa 12 jion akasema baadae atakuja nkamwelekeza npo hoteli gan akafka ..kilichokusudiwa kikafanyika ... nkamwambia my niendelee na safari usiku huu ? Akaulza
Nkajibu ndio ....

Utapata usafiri gan mda huu maana saa tatu kasoro mda huu?
Nikifika stendi magari ya masafa marefu ndio yanaingia Basi akasema haya mi narud home geti Kali wakiamka tuamke wote,nkamwambia poa ...

Safari ikaanza ile nafka stendi tu gari hlo njiapanda safari ikaendelea. Baada ya mda nkapata sms M_pesa ,imedhibitishwa kiasi Cha 50,000/= imetumwa kwangu na mm mda ule sikuwa na mtu naemdai ikabid niiweke M_pawa papohapo ....

Baadae kdgo Kama dakika 5 hvi jamaa akapga akisema amekosea kutuma hela
Nkamuulza kiasi gani akasema 50k

Akasema "ndg hyo hela nilkuwa namtumia mama yupo Dar anakwenda mbeya yaani anarud kutoka matibabuni ninakuomba Kama unaweza kunisaidia kunirudshia"
Akaendelea "Kama hutojali kata Tsh 15000/ then nirudishie japo 35000/ nkaona sio kesi nkamtumia 35000/

Hii Hali ya kupata hela umekuwa inaendelea sana
Hio gharama ya kumpata dem mpya mbona uzidi Pesa apatyo
 
Burnaboy

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2019
Messages
300
Points
500

Burnaboy

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2019
300 500
Hii umekuwa Mara kadhaa/Mara kwa. Mara nikilala na demu yeyote mpya Mara ya kwanza ama ya pili lazma kesho yake nipate hela au deal la hela

Siku ya kufunga mwaka Kama kawaida yetu kuwapanga kwny foleni,Kuna demu alpangika na siku hyo nilkuwa naelekea home mkoani kwenda kuzindua mwaka na ndg zangu ikabidi nimpange demu mmoja wa njiani ili nkifika mahali pale tuonane kweli akajaa nkafika pale majira ya saa 12 jion akasema baadae atakuja nkamwelekeza npo hoteli gan akafka ..kilichokusudiwa kikafanyika ... nkamwambia my niendelee na safari usiku huu ? Akaulza
Nkajibu ndio ....

Utapata usafiri gan mda huu maana saa tatu kasoro mda huu?
Nikifika stendi magari ya masafa marefu ndio yanaingia Basi akasema haya mi narud home geti Kali wakiamka tuamke wote,nkamwambia poa ...

Safari ikaanza ile nafka stendi tu gari hlo njiapanda safari ikaendelea. Baada ya mda nkapata sms M_pesa ,imedhibitishwa kiasi Cha 50,000/= imetumwa kwangu na mm mda ule sikuwa na mtu naemdai ikabid niiweke M_pawa papohapo ....

Baadae kdgo Kama dakika 5 hvi jamaa akapga akisema amekosea kutuma hela
Nkamuulza kiasi gani akasema 50k

Akasema "ndg hyo hela nilkuwa namtumia mama yupo Dar anakwenda mbeya yaani anarud kutoka matibabuni ninakuomba Kama unaweza kunisaidia kunirudshia"
Akaendelea "Kama hutojali kata Tsh 15000/ then nirudishie japo 35000/ nkaona sio kesi nkamtumia 35000/

Hii Hali ya kupata hela umekuwa inaendelea sana
Mkuu mpaka uconclude inabidi uwe na mifano mingi. Hapa umetoa mmoja tu!!
 
Forum statistics

Threads 1,389,959
Members 528,065
Posts 34,039,785
Top