happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
Du we naona unataka nikeshe aiseeRafiki wa wifi yako anakusaidia kwa muda huu ambao haupo nyumbani... sharing is caring wanasema wadhungu..
Unajua uchungu wa mume?Hebu lala huko. Tusije kupata mgonjwa mwingine. Siku hizi gharama za msiba ni kubwa.
Bora umemuambiaKwanini usimuulize huyo mumeo sababu ya kutoa wageni out wakati wewe hajawahi kukutoa na sababu ya wifi yako kuja kwako na kushindwa kukutaarifu hata kwa sms??
maana kwa humu sidhani kama utapata majibu ya maswali yako, ndoa njema ni kuzungumza ya moyoni na sio kuogopana na kusemea pembeni.
Namemuulizaa anadai kuwatoa haoni Kama ni tatizo ...kuhusu taarifa anasema ye hajui nimuulize wifiKwanini usimuulize huyo mumeo sababu ya kutoa wageni out wakati wewe hajawahi kukutoa na sababu ya wifi yako kuja kwako na kushindwa kukutaarifu hata kwa sms??
maana kwa humu sidhani kama utapata majibu ya maswali yako, ndoa njema ni kuzungumza ya moyoni na sio kuogopana na kusemea pembeni.
wazee wa fitna hapo tunaanza na wifi,tunaeleza ndimwilika zako zote,akisema tu "eti eeh"ndo unamwaga za bana ba yuda.Jaman sijui ni wivu wangu tu au sielewi
Iko hivi ninaishi na mme wangu ni muda Sasa....
Ijumaa last week nilisafir kuja nyumban kwetu mama anaumwa ambapo ni mkoa mwingine na ninapoishi na mme wangu
Nimesafir alhamis jmos akaja kwangu wifi angu na rafiki ake wapo chuo...mume kesho yake akanitaalufu tumepata mgeni wf na rafik ake
Ambacho nilishangaa haijawah kupita wk 2 sijawasiliana na wf angu lkn kaja wala hajaniambia kafika hajanikuta hata msg tu hajaniambia nami nikanyamaza
Kinachoniwazisha Leo nimempigia mume saa 4 usiku anapokea yupo kwenye kelele ananiambia katoka out nawagen
Nachoshangaa tangu nimemfaham huyu baba miaka 2 hajawah kunitoa out nishambembeleza badae nikaona nimtu ambae hana interest hizo...nashangaa Leo aiseee
last easter nilimwambia baba jion tusipike hatuna mtoto twende tukae sehem tule turudi nyumban uzur wote hatutumii kilevi akakataa najiuliza na nimeshangaa Sana leo
Huyu rafik wa wifi ni wa muda mrefu tu tangu tunaishi jiran na wanaposomea walikua kila week end wanakuja kwa jamaa j3 wanarudi chuo wakati atujaanza kuishi wote
Nawaza labda ni wivu wangu tu!!
Kwann wf ata asinijulishe wala sms tu yupo kimya!!
Kinachoniuma zaidi mke sijawah kutokewa out hata ya soda tu
Bora hata angeniambia before maana nimempigia saa 12 jion alikua nyumban tu
Aiseee usingizi haujii
Namemuulizaa anadai kuwatoa haoni Kama ni tatizo ...kuhusu taarifa anasema ye hajui nimuulize wifi
Huyo hajawatoa "out" ni wao ndiyo wamemtoa "out".Jaman sijui ni wivu wangu tu au sielewi
Iko hivi ninaishi na mme wangu ni muda Sasa....
Ijumaa last week nilisafir kuja nyumban kwetu mama anaumwa ambapo ni mkoa mwingine na ninapoishi na mme wangu
Nimesafir alhamis jmos akaja kwangu wifi angu na rafiki ake wapo chuo...mume kesho yake akanitaalufu tumepata mgeni wf na rafik ake
Ambacho nilishangaa haijawah kupita wk 2 sijawasiliana na wf angu lkn kaja wala hajaniambia kafika hajanikuta hata msg tu hajaniambia nami nikanyamaza
Kinachoniwazisha Leo nimempigia mume saa 4 usiku anapokea yupo kwenye kelele ananiambia katoka out nawagen
Nachoshangaa tangu nimemfaham huyu baba miaka 2 hajawah kunitoa out nishambembeleza badae nikaona nimtu ambae hana interest hizo...nashangaa Leo aiseee
last easter nilimwambia baba jion tusipike hatuna mtoto twende tukae sehem tule turudi nyumban uzur wote hatutumii kilevi akakataa najiuliza na nimeshangaa Sana leo
Huyu rafik wa wifi ni wa muda mrefu tu tangu tunaishi jiran na wanaposomea walikua kila week end wanakuja kwa jamaa j3 wanarudi chuo wakati atujaanza kuishi wote
Nawaza labda ni wivu wangu tu!!
Kwann wf ata asinijulishe wala sms tu yupo kimya!!
Kinachoniuma zaidi mke sijawah kutokewa out hata ya soda tu
Bora hata angeniambia before maana nimempigia saa 12 jion alikua nyumban tu
Aiseee usingizi haujii
Binadamu ana connection ya moja kwa moja na mambo yanayomhusu mfano kama unemuacha mwanao mchanga na analia uko mbali utajua kwa hisia vivyo hivyo na tukio lingine baya au zuri likifanyika unapata hisia.Jaman sijui ni wivu wangu tu au sielewi