Kila ndoto ya mwanaume ni kuwa na mwanamke mzuri

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Kua na mwanamke mzuri mrembo ni ndoto ya kila mwanaume kama ilivo kwa mwanamke kuolewa au kuwa na uhusiano na mwanaume tajiri anaejua kutumia pesa.

Na ndo mana mwanaume akioa wakat akiwa masikini akija kupata pesa lazma aje atafute mwanamke mzuri ambae mwanzo alikua awez kua nae kwasababu alikua masikini. Ila wanaume wengi wanapenda kusema mwanamke tabia ila kiuhalisia moyo wao hausemi ivo.

Kutokua na pesa na kukosa confidence ndo kunawafaya waseme ivo. Kumiliki mwanamke mrembo mzuri inahitaj mwanaume awe na confidence sio wale wanaopenda kulalamika kama wanaume wa umu jamii forums awana confidence ata kidogo mpk wanatia huruma. I wish mngekua mnajua mwanamke anavofeel anapokua na mwanaume mwenye confidence na pesa. Ata niwaeleze vp amuezi elewa kazi bure!
 
Saa 7 hii usiku wewe unaongelea mambo ya uzazi!! Tuache tulale kwanza. Kesho asubuhi tutakujibu.

Mwanamke ni tabia. Kama unataka wa kuwa naye ujanani tu basi sura ni kigezo. Kama unataka wa kuzeeka naye, tabia ni kila kitu. After all, wote tukizeeka, huwa tunafanana. Hauwezi kujua yupi alikuwa mrembo ama la! Tofauti yetu hapo sasa inakuwa tabia tu.
 
Shule ya msingi uliruka nini? Kuna kitu kinaitwa punctuation - matumizi ya kituo kikubwa, koma, alama ya kushangaa, nk shule yenu ya msingi hawakufundisha? Hii sentensi yako wala haijulikani mavumbini ni wapi - kwenu au kwetu? Halafu unambie mwanamke ni sura!
Saa saba usku uko kwenu mavumbini kwetu saizi mchana
 
Shule ya msingi uliruka nini? Kuna kitu kinaitwa punctuation - matumizi ya kituo kikubwa, koma, alama ya kushangaa, nk shule yenu ya msingi hawakufundisha? Hii sentensi yako wala haijulikani mavumbini ni wapi - kwenu au kwetu? Halafu unambie mwanamke ni sura!
Acha blah blah unataka niandike km niko kwenye mtihani? Unajiona msomi kumbe kilaza 😂 msomi gan ata hujui km kuna lugha ya mawasiliano na lugha ya darasani au maeneo ya kazi. Kama mpk umri uliokua nao ufaham hii poleee. Km we msomi kweli gundua ata gesi ya kutengeneza kwa ushuzi tuone. We unafikiri kua msomi ni kuandika vizur tu 🙃🙃🙃
 
".....kwenu mavumbini kwetu...." Endelea na kutafuta wateja. Utapata. Wapo wengi tu wanaangalia sura na makalio.
Acha blah blah unataka niandike km niko kwenye mtihani? Unajiona msomi kumbe kilaza 😂 msomi gan ata hujui km kuna lugha ya mawasiliano na lugha ya darasani au maeneo ya kazi. Kama mpk umri uliokua nao ufaham hii poleee
 
".....kwenu mavumbini kwetu...." Endelea na kutafuta wateja. Utapata. Wapo wengi tu wanataangalia sura na makalio.
😂😂😂😂 Masikini umeshindwa kujitetea unaleta blah blah! Ivi na wewe ni mwanaume? Mpk huruma 😅
 
Acha blah blah unataka niandike km niko kwenye mtihani? Unajiona msomi kumbe kilaza 😂 msomi gan ata hujui km kuna lugha ya mawasiliano na lugha ya darasani au maeneo ya kazi. Kama mpk umri uliokua nao ufaham hii poleee. Km we msomi kweli gundua ata gesi ya kutengeneza kwa ushuzi tuone. We unafikiri kua msomi ni kuandika vizur tu 🙃🙃🙃
Duuuuh noma sana
 
Kua na mwanamke mzuri mrembo ni ndoto ya kla mwanaume km ilivo kwa mwanamke kuolewa au kua na uhusiano na mwanaume tajiri anaejua kutumia pesa.

Na ndo mana mwanaume akioa wakat akiwa masikini akija kupata pesa lazma aje atafute mwanamke mzuri ambae mwanzo alikua awez kua nae kwasababu alikua masikini. Ila wanaume wengi wanapenda kusema mwanamke tabia ila kiuhalisia moyo wao hausemi ivo.

Kutokua na pesa na kukosa confidence ndo kunawafaya waseme ivo. Kumiliki mwanamke mrembo mzuri inahitaj mwanaume awe na confidence sio wale wanaopenda kulalamika kama wanaume wa umu jamii forums awana confidence ata kidogo mpk wanatia huruma. I wish mngekua mnajua mwanamke anavofeel anapokua na mwanaume mwenye confidence na pesa. Ata niwaeleze vp amuezi elewa kazi bure!
Je Wewe n mwanamke mrembo?
 
Hii mada ya mdada ina ukweli mwanaume ukipata hela kila kitu lazima kiwe kipya. Nyumba mpya
Gari jipya
Nguo mpya
Mtaa unaohamia mpya
Rafiki wepya
Mke lazima awe mpya
Yaani nilipo kuwa masikini mke wangu alikuwa Abitoki leo nimetajirika lazima nitafute mdada mkali sana. Abitoki akinuna atakuwa mlinzi wa getini mama..e zake.

Lunatic
 
Sawa bhana ila wahuni tunachakata wote hatutaki kujua
 
Acha blah blah unataka niandike km niko kwenye mtihani? Unajiona msomi kumbe kilaza 😂 msomi gan ata hujui km kuna lugha ya mawasiliano na lugha ya darasani au maeneo ya kazi. Kama mpk umri uliokua nao ufaham hii poleee. Km we msomi kweli gundua ata gesi ya kutengeneza kwa ushuzi tuone. We unafikiri kua msomi ni kuandika vizur tu 🙃🙃🙃
Punguza hasira ...gesi ya kutengeneza kwa ushuzi 😁😁😁😁😁🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Mimi lazma nioe pis kalii..haiwezkan leo nimenyakuliwa afu watt waje kukosa baba wa kambo kisa nmeoa mwanamke mwenye sura ya baba hadi anakosa mchepuko...siwez oa mwanamke ambaye yy ni wa kupika na kuosha masufuria msibani....unaoa pisii hata ukifa leo unakuta kuna mwanaume tayar anaanza kumbelezaa kuwa asijali..yy atachukua jukumu la mwendazake...mwamanmke sura na shape bhnaa..tabia tutatumia za kwangu.....jokes.hahaha
 
Saa 7 hii usiku wewe unaongelea mambo ya uzazi!! Tuache tulale kwanza. Kesho asubuhi tutakujibu.

Mwanamke ni tabia. Kama unataka wa kuwa naye ujanani tu basi sura ni kigezo. Kama unataka wa kuzeeka naye, tabia ni kila kitu. After all, wote tukizeeka, huwa tunafanana. Hauwezi kujua yupi alikuwa mrembo ama la! Tofauti yetu hapo sasa inakuwa tabia tu.
Itabidi tumprintie haya manano ayavae muda wote ili awaelimishe na mazwazwa wenzie
 
ww dada nyuzi zako nyingi unaongelea Mambo ya mapenzi na kudinyana.

Wanasaikolojia wanasema ukiona mtu anaongelea kitu kimoja kila siku ujue kinamsumbua Sana..

Pole mdada
 
Jitaidini kujifunza matumizi ya "baadhi" na "asilimia kubwa" kwenye uandishi au maongezi yenu. Mm ni mwanaume lakin nahisi uliyo andika vyote sina ama nitakuwa na matatizo? Mm urembo haujawai kuwa kigezo cha kunifanya nimpende mtu au kunifanya nitaman kummiliki.
 
Back
Top Bottom