Kila ndoto ya mwanaume ni kuwa na mwanamke mzuri

Kua na mwanamke mzuri mrembo ni ndoto ya kila mwanaume kama ilivo kwa mwanamke kuolewa au kua na uhusiano na mwanaume tajiri anaejua kutumia pesa.

Na ndo mana mwanaume akioa wakat akiwa masikini akija kupata pesa lazma aje atafute mwanamke mzuri ambae mwanzo alikua awez kua nae kwasababu alikua masikini. Ila wanaume wengi wanapenda kusema mwanamke tabia ila kiuhalisia moyo wao hausemi ivo.

Kutokua na pesa na kukosa confidence ndo kunawafaya waseme ivo. Kumiliki mwanamke mrembo mzuri inahitaj mwanaume awe na confidence sio wale wanaopenda kulalamika kama wanaume wa umu jamii forums awana confidence ata kidogo mpk wanatia huruma. I wish mngekua mnajua mwanamke anavofeel anapokua na mwanaume mwenye confidence na pesa. Ata niwaeleze vp amuezi elewa kazi bure!
Wewe ni mdangajii.Mwanaume yeyote asiye bahiri anaku vua chupii.

Umeweka pesa mbele kuliko true love.Karibia thread zako zote unaonesha wazi kuwa una tamaa na pesa za wanaume.

TAFUTA PESA ZAKO KWA MIKONO YAKO,ACHA KUTEGEMEA PESA ZA WANAUME.
 
Kikubwa mbususu akupe bila hiyana.

Uzuri wenyewe siku hizi mnadownload, wanoonekana wazuri wengi hawavutii kwa kujiharibu kwa kujisiliba na makeup za ajabu, wazuri wamebaki wachache hasa wale wanaotoka makwao ila nyie mnaojilipia kodi aisee mnajisiliba sana muonekana ila ndo mnazidi kua wabaya.

Wanawake hawaeleweki wanataka nini, usitudanganue hapa. Hiyo pesa ni kufata mkumbo tu na hivi wengi wenu ni nyumbu basi ni hukohuko upepo utakoelekea wimbo ni pesa pesa pesa.
 
Kua na mwanamke mzuri mrembo ni ndoto ya kila mwanaume kama ilivo kwa mwanamke kuolewa au kua na uhusiano na mwanaume tajiri anaejua kutumia pesa.

Na ndo mana mwanaume akioa wakat akiwa masikini akija kupata pesa lazma aje atafute mwanamke mzuri ambae mwanzo alikua awez kua nae kwasababu alikua masikini. Ila wanaume wengi wanapenda kusema mwanamke tabia ila kiuhalisia moyo wao hausemi ivo.

Kutokua na pesa na kukosa confidence ndo kunawafaya waseme ivo. Kumiliki mwanamke mrembo mzuri inahitaj mwanaume awe na confidence sio wale wanaopenda kulalamika kama wanaume wa umu jamii forums awana confidence ata kidogo mpk wanatia huruma. I wish mngekua mnajua mwanamke anavofeel anapokua na mwanaume mwenye confidence na pesa. Ata niwaeleze vp amuezi elewa kazi bure!
Kweli kabisa.....yaani tungependa sana kuwagegeda wananwake wazuri sema hela ndio changamoto. Kukojolea pazuri ndio ndoto ya kila mwanamme
 
Back
Top Bottom