Kila nchi na utamaduni wake wa matukio muhimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila nchi na utamaduni wake wa matukio muhimu

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Sep 2, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Nyie vijana mliosoma sekondari za kata pateni somo hapa; Ethiopia ndio nchi pekee afrika ambayo haijawahi kutawaliwa na nchi nyingine!!
   
 3. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo hapo juu mbele, ndiye atakaye zikwa naye pamoja akiwa hai, kwa mila za kikwao, upo hapooo!!
   
 4. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hakuna kitu kama hicho siku hizi. Ingekuwa hivyo ngeshatoka mbio.
   
 5. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwani Africa kuna nchi huru? Mi naona wanaendelea kututawala wakiwa huko huko. We mtu kama JK anavyoomba hivi, kweli tutakuwa huru??
   
 6. Kwisimla

  Kwisimla Senior Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Waliwahi kuwa chini ya Italy kwa muda wa miaka 5, baadaye walipigana vita na kushinda, ingawa walisaidiwa na waingereza.
   
 7. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  liberia nayo haikutawaliwa.
   
 8. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Liberia ni nchi iliyoundwa na waafrika waliokuwa na asili ya watumwa toka Marekani!!
   
Loading...