KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Yaani umesema kweli muongo.Tuna haki ya kutoolewa wallah!
Yaani umesema kweli muongo.Tuna haki ya kutoolewa wallah!
Unalala tena?,umesahau unatukana wanaume?nijilalie zangu maana naona yale yale tuu hamna jipya wavulana wa dar lainiiii
Sio kiboya mamii,ni kibolo.Sanaa. . .inashangaza sana mwanamke kuandika mambo ya kiboya kama haya
Hapana mamii,wewe ume reach criteria,so kaa mkao wa kuolewa bibie,nakuja kwenu Usangi milimani hivi karibuni.Hawa wachache ndio wanaharibia hata ambao sio
Hongera yako, ila mimi nilishaacha kitambo kushindana na nilikotoka. Maana ukumbuke ukubwa wa kid anayetoka huko ni mara dufu ya dushe.Najiuliza tuu hivi nini kilichopo akilini mwangu, maana kila napompata mwanaume namkifu mapema tuu baada ya kudo na mimi haswa napokua faragha nikakuta ni mvivu, hana mzigo wa haja, huwa namdharau sana hivi kwanini baadhi ya vijana wanakua walaini hivi? Yaani kabao kamoja tuu hoi kuendelea na round ingine inakua ndoto wanakua wabinafsi akimaliza tuu anageukia ukutani.