Kila mwanamke ninayemgusa ananikataa

Kila mwanamke ninayemgusa ananikataa

Dogo wa kitaa umeniacha hoi, na lundo la wanawake wote waliojaa town bado unalalamika kukataliwa? hembu tuweke wazi unataka mwanamke wa kuishi naye au ujifurahishe tu halafu uyumbe?

hapana sifongo mi niko sirius kutafta mke wa kuweke ndani.
 
Najua kuna wanawake Mob kitaa ila mwonekana wako pia unaweza wakimbiza warembo na Approach yako, kama usafi, vaa yako, tembea yako,,,!!! hata ukiwa na Doo kama una vaa ovyo, hujipendi mwenyewe, au usafi Zero nani atakubali kutoka nawe kwa Lunch au Dinna, Ji tathmini mwenyewe mapungufu yako then rekebisha uone kama utakosa mchuchu hata hata huna Doo

asante kwa ushauri wako msemakweli
 
huwa unaingilia gia gani?...usijeukawa unaanza na 5 lazima alale mbele
 
hapana sifongo mi niko sirius kutafta mke wa kuweke ndani.

Dogo wa kitaa sijui choice zako zinazingatia vigezo gani ila hata humu jamvini mbona kuna wadada wengi tu wanatafuta wenza, umeshawahi kucheki na hao?
 
Kijana bado mda sana tu acha mapepe.
Isitoshe wanaokushauri utoe hela hao nahisi ni wauza nyuchi na sio wapenzi. Tafakari.
Tangu enzi za mababu mpaka ukamilifu wa dahari, mapenzi hayajawahi kupimwa na kiwango cha fedha mtu alichonacho.
Kama ndivyo basi ni kwa wale wafanyabiashara wanaojiita wajasiriamali wanaosimamaga usiku mitaa ya sinza na kinondoni.
Take ua time to establish uaself kwa sasa ukishanukia maendeleo and focused that's when u can choose. Wapo wengi mnoooooooooo kijana.
Acha hofu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Isije kuwa unatongoza unakataliwa mara moja unasepa unatafuta mwingine tena unakataliwa unasepa inabidi ukomae mkuu labda huyo she,akuthibitishie kabisa ana mtu wake la sivyo komaa mwanzo mwisho! Alf mpango wa kutoa hela siyo mi siungi mkono kabisa labda kama unataka kupoteza time tu!
 
Endelea kuvumilia, yupo ambaye Mungu amemtayarisha kwa ajili yako coz hata umri wako bado bado
 
Hivi kuna mwanamke anaweza kumkataa mwanaume kweli siku hizi? Minafikiri kuna mahala unapakosea.Au unatokea wanawake wenye status kubwa zaidi yako,kifedha,kielimu etc au mtazamo wako wa kimaisha labda mbabe mno,lugha za kihuni etc wanawake wanapenda mahali watakapo jihisi secure.
 
Jamani wanajamiiforums nisaidieni ,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 ,ni muda mrefu sasa yapata miaka mitano kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa nishaurini nifanyeje watalaamu umri nao unasogea na naitaji mwanamke wa kuwa mke wa baadaye,yaani inafika wakati nakata tamaa kabisa kumtokea ata mwanamke nitakaye mpenda nikihofia atanikataa tu na kuna wengine nikiwaomba ata nafasi ya kuongea nao ili nitoa ya moyoni mwangu wanakataa Natanguliza shukrani naombeni ushauri.

Labda unanuka mdogo, jicheki sawasawa
 
Isije kuwa unatongoza unakataliwa mara moja unasepa unatafuta mwingine tena unakataliwa unasepa inabidi ukomae mkuu labda huyo she,akuthibitishie kabisa ana mtu wake la sivyo komaa mwanzo mwisho! Alf mpango wa kutoa hela siyo mi siungi mkono kabisa labda kama unataka kupoteza time tu!

asante aggrey ushauri wako nifanyia kazi
 
Hivi kuna mwanamke anaweza kumkataa mwanaume kweli siku hizi? Minafikiri kuna mahala unapakosea.Au unatokea wanawake wenye status kubwa zaidi yako,kifedha,kielimu etc au mtazamo wako wa kimaisha labda mbabe mno,lugha za kihuni etc wanawake wanapenda mahali watakapo jihisi secure.

hapana charger huwa nawatokea kistaarabu,kuna mmoja ata kumpa salamu tu,akuitikie sijui nakosea wapi mimi labda tu niseme siwakomalii sana kwasababu naona awana muelekeo wa kukubali
 
bila pesa, kupata demu inabidi uwe na muda sana wa kufukuzia na uwe mtaalamu wa kupanga maneno!
 
Kijana bado mda sana tu acha mapepe.
Isitoshe wanaokushauri utoe hela hao nahisi ni wauza nyuchi na sio wapenzi. Tafakari.
Tangu enzi za mababu mpaka ukamilifu wa dahari, mapenzi hayajawahi kupimwa na kiwango cha fedha mtu alichonacho.
Kama ndivyo basi ni kwa wale wafanyabiashara wanaojiita wajasiriamali wanaosimamaga usiku mitaa ya sinza na kinondoni.
Take ua time to establish uaself kwa sasa ukishanukia maendeleo and focused that's when u can choose. Wapo wengi mnoooooooooo kijana.
Acha hofu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hahaha nyuchi,mie nilizani vyuchi.
 
Jamani wanajamiiforums nisaidieni ,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 ,ni muda mrefu sasa yapata miaka mitano kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa nishaurini nifanyeje watalaamu umri nao unasogea na naitaji mwanamke wa kuwa mke wa baadaye,yaani inafika wakati nakata tamaa kabisa kumtokea ata mwanamke nitakaye mpenda nikihofia atanikataa tu na kuna wengine nikiwaomba ata nafasi ya kuongea nao ili nitoa ya moyoni mwangu wanakataa Natanguliza shukrani naombeni ushauri.[ongeza bidii alafu acha wonga mkuu kila mwanaume amezaliwa kushinda pia hawa wakina dada wa leo ndo walewale wakina EVA waliotoka ubavu kwa ADAMU uwezo wao wa kuluka viunzi vyetu ni mdogo sana]
 
Jamani wanajamiiforums nisaidieni ,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 ,ni muda mrefu sasa yapata miaka mitano kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa nishaurini nifanyeje watalaamu umri nao unasogea na naitaji mwanamke wa kuwa mke wa baadaye,yaani inafika wakati nakata tamaa kabisa kumtokea ata mwanamke nitakaye mpenda nikihofia atanikataa tu na kuna wengine nikiwaomba ata nafasi ya kuongea nao ili nitoa ya moyoni mwangu wanakataa Natanguliza shukrani
ongeza bidii alafu acha wonga mkuu kila mwanaume amezaliwa kushinda pia hawa wakina dada wa leo ndo walewale wakina EVA waliotoka ubavu kwa ADAMU uwezo wao wa kuluka viunzi vyetu ni mdogo sana]
 
Angalia sana swala na Hygiene inawezekana kabisa unanuka kikwapa. Maana siku hizi washikaji kibao wananuka kikwapa ila wenyewe hawajijui. Penda kuoga mara kwa mara , punguza nywele zisizo za lazma,utumie deodorant na ujiweke mazingira ya nje safi usirudie kuvaa shati au tshirt mara mbili kabla haijafuliwa unless una hakika sana kwamba haina harufu. Zingatia haya kwanza nina wasi sana na swala la usafi na muonekano hapo.
 
Back
Top Bottom