cheusi mamangala hayo ni matokeo ya chips za transformer kuku wa ARV na mayai ya maabara za wachina MUNGU hapo hayupo mwacheni MUNGU apumzike miuzembe yenu msimtwishe MUNGU. Hata bongo hapa wapo kulakula full time kama hana hindi la kuchoma la pilipili na ndimu ana karanga.tembelea YENU ubungo uone wanavyosunda michemsho kuku samaki ulimi wa ng'ombe mkia kwato za ng'ombe yaani ni balaa tupu sa hapo MUNGU katoka wapi. UZEMBE mtupu kudadeki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.