Kila mwanafunzi atahusishwa kwenye riadha Kenya

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,237
50,399
Serikali imeweka mikakati ya kuhakikisha sharti kila mwanafunzi anahusika kwenye michezo ya riadha ikiwemo mbio na urukaji wa viunzi n.k.

The Education ministry and Athletics Kenya (AK) will on Monday launch the Kids Athletics as part of co-curricular activities among children aged between 7 and 14 years.

The main objective of the Kids Athletics is to nurture talents in children, make them enjoy sport, fight obesity and other diseases brought about by being inactive.

Kids Athletics will also enable a smooth transition from children-junior-youth and senior Athletics.

The programme will be launched by Education PS Belio Kipsang at Nyayo National stadium.

It aims at making children enjoy playing sport at an early age. After the launch, the programme will be integrated in scheduled school activities and added in the co-curricular calendar of events come next year.

Some of the features of the kid’s athletics will include sprinting or running, jumping and throwing events.
State to launch kids athletics to nurture talents
 
Good. Some of us grew up in places and times that never saw the proper value of sports. Alafu idara ya michezo ianze pia kueneza michezo mbali, angalau tuboreshe matumaini ya medali za olimpiki kwenye uogeleaji na equestrian sports kwa mfano.
 
Hivi mashindano ya shule za msingi na sekondari dar bado yamezuliwa?
 
Serikali imeweka mikakati ya kuhakikisha sharti kila mwanafunzi anahusika kwenye michezo ya riadha ikiwemo mbio na urukaji wa viunzi n.k.

The Education ministry and Athletics Kenya (AK) will on Monday launch the Kids Athletics as part of co-curricular activities among children aged between 7 and 14 years.

The main objective of the Kids Athletics is to nurture talents in children, make them enjoy sport, fight obesity and other diseases brought about by being inactive.

Kids Athletics will also enable a smooth transition from children-junior-youth and senior Athletics.

The programme will be launched by Education PS Belio Kipsang at Nyayo National stadium.

It aims at making children enjoy playing sport at an early age. After the launch, the programme will be integrated in scheduled school activities and added in the co-curricular calendar of events come next year.

Some of the features of the kid’s athletics will include sprinting or running, jumping and throwing events.
State to launch kids athletics to nurture talents

Wakenya wanaongoza kwa kukimbia Duniani, lkn nafikiri ni genetics na wala siyo training peke yake, halafu pia kwa kuwa Kenya hakuna intermarriages au kidogo sana kila mtu anaoa au anaolewa kwenye kundi lake tu, hiyo inachangia kwenye gene pool ndiyo maana wako vizuri sana kwenye mambo kama haya ya kukimbia, hapo huwezi kushindana nao!
 
Wanariadha wanaofanya vizuri kutoka Kenya karibia wote ni Wakalenjini. Kwa Ethiopia pia, karibia wanariadha wote mahiri ni Waoromo. Hivyo ni kweli kabisa ni suala la 'genetics' zaidi. Wakikuyu hata wafunzwe vipi riadha hawatafika popote.
 
mambo yao ni mifugo#hapa kazi tuu
 
Wanariadha wanaofanya vizuri kutoka Kenya karibia wote ni Wakalenjini. Kwa Ethiopia pia, karibia wanariadha wote mahiri ni Waoromo. Hivyo ni kweli kabisa ni suala la 'genetics' zaidi. Wakikuyu hata wafunzwe vipi riadha hawatafika popote.

Catherine ndereba???

Sammy wanjiru???

Kama Hamjui mnachosema si mnyamaze!!
 
Wakenya wanaongoza kwa kukimbia Duniani, lkn nafikiri ni genetics na wala siyo training peke yake, halafu pia kwa kuwa Kenya hakuna intermarriages au kidogo sana kila mtu anaoa au anaolewa kwenye kundi lake tu, hiyo inachangia kwenye gene pool ndiyo maana wako vizuri sana kwenye mambo kama haya ya kukimbia, hapo huwezi kushindana nao!

Dah! Wewe jamaa lazima unaishi maisha magumu sana Tanzania, maana kila ukiandika chochote unakera kwa kauli zako ovyo. Kwanza fahamu hii kauli ya serikali sio kwa nia ya kumfanya kila Mkenya awe mwanariadha wa kutajika, ila ni kuwafanya wanafunzi wetu wawe wakakamavu na sio kama ilivyo Dar kila kijana ameishia kwenye chips mayai na beer.

Mambo ya kuoana au kutooana hayahuasiani na ukakamavu, Waswahili huwa hamkosi vijisababu uchwara. Mnataka kutwa mcheze pool na bao huku mkiwa na vijisababu vya kila aina. Ina maana nchi zote zinazofanya vizuri kwenye riadha wanaoana wao kwa wao. Ukienda Marekani unakuta weusi wenyewe hata hawajui asilia yao, labda hata Msukuma kaoa Myoruba lakini wapo sawa kwenye riadha.

Kidogo uwe unashirikisha ubongo na unachokiandika maana watu wengi wanapitia na wataishia kusoma huo ujinga wote.

Serikali yetu imebuni hii mikakati ya kuhakikisha kila mwanafunzi anachakarika na kuwa mkakamavu. Iwe ndoto yake ni udaktari, urubani wala nini, lakini lazima akimbie. Haya mambo yelikuwepo nikiwa mdogo, sijui yalipungua vipi baadaye. Nakumbuka tulikua tunakimbia wote, tena ilikua ni sharti.

Ni kama tu jinsi Magufuli kwenu ameweka kauli usafi lazima ufanyike kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi, japo mlivyo wavivu mnalalamika hadi kero.
 
Acha upuuzi bwana mdogo, huwezi kubadili ukweli kuwa Wakalenjini ndio wanariadha mahiri Kenya.
Jibu swali lake jombaa,Catherine Ndereba,Samuel Wanjiru?Nami naongeza pia na David Rudisha,ambaye ni mmaasai(jamii ambayo ni kubwa zaidi tz kuliko ilivo Kenya!) na Abel Mutua naye?Je Wakiihuri?Hao wote niliowataja kuna mkalenjin?Acha kujifanya unaijua Kenya.Siri ni mazoezi,mazoezi,mazoezi afu ongeza pia kupenda,kuishi na kula riadha.Hayo ndo maisha ya wanariadha wa Kenya,na yeyote anayeungana nao kwenye mazoezi na kuiga wanayofanya anafanikiwa pia,mfano mzuri ni Mo Farah,yeye pia ni mkalenjin?
 
Wakenya wanaongoza kwa kukimbia Duniani, lkn nafikiri ni genetics na wala siyo training peke yake, halafu pia kwa kuwa Kenya hakuna intermarriages au kidogo sana kila mtu anaoa au anaolewa kwenye kundi lake tu, hiyo inachangia kwenye gene pool ndiyo maana wako vizuri sana kwenye mambo kama haya ya kukimbia, hapo huwezi kushindana nao!
Ukitumia hii kauli potovu, tuelezee basi kwa nini wakenya ni mahiri kwa michezo nyingine. Mfano: raga na voliboli.
 
Hiyo sijui kwa kweli kwa maana uelewa wangu wa mchezo wa Raga ni sifuri, ila riadha naelewa na siyo mimi tu hili swala mpaka linafanyiwa reasearch Duniani kote kwa nini Wakenya na Waethiopia wanakimbia sana na kuna theories nyingi lkn moja ambayo inasimama na mimi nakubaliana yao ni hiyo ya genetics!
Kwa kuwa Wakenya hawachanganyiki sana (intermarriages) yaani wengi wanao/kuolewa kwenye makundi au karibia na makundi yao hivyo hii huchangia kubakisha genetic traits ndiyo maana utaona hata kwenye mambo ya siasa kwa mfano Wajaluo wote kwa mfano wanamsikiliza mtu mmoja tu Raila Odinga, kesho akisema Wajaluo wote wampigie kura Uhuru Kenya watafanya hivyo akisema kesho Uhuru Kenya ni adui yetu basi itakuwa hivyo hivyo na makundi mengine hivyo, na jinsi kundi linavyokuwa homogeneous ndivyo utii wa Kiongozi wao unavyokuwa mkubwa, tofauti na kwa mfano Mombasa ambao watu wanachanganyika hakuna mambo kama ya sijui flag bearer wa Miji kenda ...
 
Hiyo sijui kwa kweli kwa maana uelewa wangu wa mchezo wa Raga ni sifuri, ila riadha naelewa na siyo mimi tu hili swala mpaka linafanyiwa reasearch Duniani kote kwa nini Wakenya na Waethiopia wanakimbia sana na kuna theories nyingi lkn moja ambayo inasimama na mimi nakubaliana yao ni hiyo ya genetics!
Kwa kuwa Wakenya hawachanganyiki sana (intermarriages) yaani wengi wanao/kuolewa kwenye makundi au karibia na makundi yao hivyo hii huchangia kubakisha genetic traits ndiyo maana utaona hata kwenye mambo ya siasa kwa mfano Wajaluo wote kwa mfano wanamsikiliza mtu mmoja tu Raila Odinga, kesho akisema Wajaluo wote wampigie kura Uhuru Kenya watafanya hivyo akisema kesho Uhuru Kenya ni adui yetu basi watafanya hivyo na makundi mengine hivyo hivyo na jinsi kundi linavyokuwa homogeneous ndivyo utii wa Kiongozi wao unavyokuwa mkubwa, tofauti na kwa mfano Mombasa ambao watu wanachanganyika hakuna mambo kama ya sijui flag bearer wa Miji kenda ...
Kweli tutakusaidia vipi. Hamna siri hapa, ikiwa hamna ari ya michezo,usilazimishe,wala usishindane na wenyewe. Pamoja na kuwa na genetics za ukimbiaji ,wandugu zetu wa bonde la ufa wana tamaduni ya kale ya kushindana kwenye riadha na spoti mbali mbali. Kama vile wagiriki wa kale. Hii umeorodhesha kwa hesabu zako??

Training training training. Nawasihi wabongo muwe wanaspoti, benefits zake kubwa mtashangaa.

Hiyo list nilisahau kuongeza na hockey (magongo). Hapo barani tuko sawa. Sitamsahau yule mjamaa wa kurusha javelin Yego Julius ,bingwa wa dunia, alianza tu kama wewe mtandaoni kupitia YouTube. Tofauti yake ni utekelezaji, ACTION, na kuona fursa.

¿Narudia, hiyo kauli yako utaiwacha?
 
Kauli ipi hiyo?
 
Kauli ipi hiyo?
Eti wakenya wana genetics, na sio training pekee yake.

Labda utuonyeshe kwa njia ya mfano, na eleweka, kwa nini basi wakenya wana jitahidi sana kwenye uwanja ya michezo??? Over to you.

Ps. : Huko wanakotoka wakimbiaji, nadra sana kupata wanaume soft soft, weka hii hesabu kwa jibu lako.
 
Sawa nitabadilisha kama unapenda nifanye nifanye hivyo!
 
Back
Top Bottom