sijawai kusikia umeme umeshuka bei toka nazaliwa mpaka nimekua mkubwa badala yake kila mwaka unapoanza umeme unapanda bei pamoja na bidhaa nyingine kibao ,je, sababu ni nini haswa au kuna upigaji hapa unaendelea?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.