Kila mtu nchini ameichoka TANESCO.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,247
Reaction score
16,169
Kila anashangaa kwanini umeme lazima ukatike sila siku kuanzia mijini hadi vitongojini, hata baada ya kuambiwa bwawa la Nyerere linafanyakazi Sasa, mvua zinanyesha mabwawa yote yamejaa na Tanzania tuna umeme wa geai. Katikakatika hii inasababisha hasara kubwa sana kwa watumiaji hivyo kero, hasira, kejeli na matusi kwa TANESCO na watendaji wake
 
Samia na CCM hawafai kabisa.
 
ccm haifai katika nchi hii, tanesco sio shida kabisa kama ccm ingekaa kwenye ilani yake
 
Kila mtu watoto kwa wakubwa, wanawake kwa wanaume, wazawa kwa wageni, waajiriwa kwa waajiri, waajiriwa na waliojiajiri wote wanasonya kwa wakati mmoja umeme ukikatika na kuwaka Kila mara Kila wakati. Kila anaesonya Kuna maneno anayosema.
 
Ila nadhani serikali ya samia ndio imechokwa zaidi ya TANESCO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…