Kila mtu anatamani . . . . . . .

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,712
Kila mtu anatamani kujua kama mke/mume,mpenzi kama anampenda na pia anampenda kiasi gani.Bahati mbaya huwezi kujua KAMWE,utapoteza muda wako bure.Mpaka unaenda kaburini hautojua.Kwanza haikuhusu,inayokuhusu ni wewe kupenda.Unaweza kupata mwanga kidogo kwenye matendo yake,lakini hapo kuna mkanganyiko,wengine wana matendo fake,wengine ni wagumu kama jiwe wengine hawaeleweki.We amua tu kupenda,kama unafikiri unaweza kujua kinachoendelea kwenye moyo wa mwenzako jaribu kujua uone!
 
Lakini upendo haujifichi.....hata kama ni feki kiasi gani utaona tu. Hawezi kufeki for the whole life. Hata matendo huendana na hisia..u will know for sure.
 
Back
Top Bottom